hahahaaaahaaa haya FuSoTatizo lenu mnaanini sayansi ambayo na wao wanachofanya ni kukisia tu baada ya mifupa (genetic) kuipima maabara; ki uhalisia binadamu wa kale alikuwa na nguvu za ajabu; sasa kama anaweza nyenyua uzito wa tani tano; hivi akizaliwa anakuwa na nguvu gani kwa misuli yake kumfanya ashindwe kutembea. Kwanza fikri mazingira ya porini baridi kali; majani; chakula matunda ila watoto walizaliwa na kuishi.
Maumbo ya wanawake na wanaume yalikuwa sawa!!Wanawake wa kipindi hicho walikuwa na shida sana kwa upande wa kugegedwa maana sipati Picha mashine za hayo majitu watu.Nahis vibamia vya kipindi hicho ndio leo tunajivunia kuwa fulani ana mpini.
mabadiliko ya kigenitiki kwa miaka 2000 ni michache sanaKweli ni mabadiliko makubwa sana, najaribu kuimagine after 2000years binadamu atakuaje
Safi sana mkuu walau wewe upo na mimi, kwa mfano hiyo miaka 2000 tu wakati wa Jesuis ilikuwa vile sasa je miaka millions ilikuwaje?Kweli ni mabadiliko makubwa sana, najaribu kuimagine after 2000years binadamu atakuaje
mita 60Unaambiwa. Mzee Adam mwenyewe.
Alikuwa mrefu.
Yaani uunganishe mistimu miwili ya umeme. Ndo urefu wake. Bonge la MTU.
Hatari sana.Noma
Ina maana hizi rekodi za kina usain bolt ni za kuanzia 1960![]()
Jicho lake lilikuwa sana na kichwa cha Binadamu wa sasa!!
nyayo zake sasa, utata mtupu - sasa kwa ma sisita du wa kipindi kile sijui walivaaje high hills - ha ha ha
![]()
Hawa jamaa walikuwa ni mijitu mirefu na ya ajabu - naona waliweza hata kutembea toka Africa hadi Asia kwa masaa 2 tu hivi, maana muda huo kulikuwa hakuna Ndege.
Cheki mifupa yao ilivyokuwa mirefu, jilinganishe na wa kwako uone tofauti.
![]()
mnara wa Babel haupo MisriUshahidi kwa namna hawa binadamu wakivyokuwa wakubwa ni pale Misri kwenye ule mnara wa babel, mnara huu mpaka leo upo na kuna mawe makubwa sana yamepandiswa juu - jiwe lina uzito wa tani 3 hadi tano. wakati huo kulikuwa hakuna Technologia ya kuyanyenyua thats means hawa binadamu walikuwa na uwezo wa kunyenyua mzito wa uzito wa zaidi a tani kumi.
leo hii biandamu kunyenua kilo 200 tu ni shughuli pevu.
basi wanawake walikuwa na mabwawa.Maumbo ya wanawake na wanaume yalikuwa sawa!!