Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,312
- 40,136
Aisee tembo kama kichwa cha fuso[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] my ribs
Mkuu FUSO, Umenena vyema sana, naomba ninukuu mistari miwili ya kitabu kitakatifu cha Biblia Isaya 55:8-9 inasema "Maana mawazo yangu si mawazo yenu,wala njia zenu si njia zangu;asema Bwana. Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi,kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu"Kaka hili dude (Dunia) tuliomo ni kubwa mno ; Zito la ajabu, na sisi tumeganda juu yake, linazunguka Jua na linajizungusha lenyewe - Sasa tangu limeumbwa hili dude halijawahi kusimama hata sekunde moja - miaka millions of millions.
Aisee huwa nikifika hapa - napiga magoti maana there should be a very powerful creator of all this things, Mungu.
unachukua stori za mitaani unaleta humu....nani aliyekudanganyaHakuna mwenye records sahihi mkuu; haya yote ni makisio tu; lakini jua tu kwamba hawa binadamu walikuwa na uwezo wa kutembea kutoka bara moja hadi jingine; waliishi misituni wakila matunda na wanyama.
Sasa yawezekana binadamu hawa walikuwa wakubwa zaidi na akili yao ilikuwa si ya kawaida, waliishi hadi miaka 5000. Kizazi cha kina nabii Mussa ndiyo wakaanza kuishi miaka 800 hadi 1000.
Sasa wewe leo ukifika 80 bahati.
kambaUnaambiwa. Mzee Adam mwenyewe.
Alikuwa mrefu.
Yaani uunganishe mistimu miwili ya umeme. Ndo urefu wake. Bonge la MTU.
watakuona chizi ukiuliza swali LA kipuuzi kama lako.....mbona hata wakati huu waafrika kutoka magharibi hawako sawa na wajapani in terms of physical appearance ni mambo ya adaptability tu kulingana na mazingira husikaHapo ndo najiuliza mimi ...sisi tumepata wapi huu ufupi kwa nini hatukuwa kama wao?
Kuna muda wanasayansi nao kuna maswali ya kuwauliza
Development of man ...wana concrete evidences ..ambazo zinashikika na kuelezeka kwa hiyo ndio best kwa sasaKwa ushahidi huu ni ipi theory sahihi ya kuwepo binadamu kati ya theory ya Creation of man na ile ya Development of man
hiyo ndio adaptation sasa ....binadamu alikua mkubwa na mwenye nguvu ili apambane na hali ngumu na mbaya ya kipindi kile unakuta anawinda kwa kutumia mawe sasa fikiria awe kama wewe ambae hata kuua kuku kwa mawe huwezi angeishi vipi....technology inapokua hakuna haja ya kua strong kiasi hicho unatakiwa uwe smartKama kuna mtu amewahi kufika oldupai george iliyopo ngorongoro anajua vitu vya zamani vilikuwaje!kuna fuvu la swala pale ukubwa wake kama kichwa cha ndovu wa sasahivi!tembo fuvu lake kama kichwa cha fuso vile!mi nazani dunia inaenda na technolojia kuwa juu hakutakuwa na haja ya binadam kuwa mkubwa vitakuja kuzaliwa viandunje kama pimbi
shikamoo FUSOGenetic hubadilika kizazi kwa kizazi; hapa tunaongelea miaka Mamillion yaliyopita; pia kumbuka miaka hiyo kulikuwa hakuna clinic, Mama anajifungua mtoto asubuhi tena peke yake anakata kitovu, ikifika mchana mtoto anatembea freshi tu na mama anapiga kazi kama kawaida.
Pia kipindi hicho binadamu wa kale walikuwa hawakai sehemu moja, sasa unakuta wanatoka lets say Africa leo asubuhi, kesho yake ameshafika America au Asia.
So binadamu wanazid kupungua ustrength
Kweli wewe fuso aisee mtoto azaliwe asubuhi atembee mchana.Genetic hubadilika kizazi kwa kizazi; hapa tunaongelea miaka Mamillion yaliyopita; pia kumbuka miaka hiyo kulikuwa hakuna clinic, Mama anajifungua mtoto asubuhi tena peke yake anakata kitovu, ikifika mchana mtoto anatembea freshi tu na mama anapiga kazi kama kawaida.
Pia kipindi hicho binadamu wa kale walikuwa hawakai sehemu moja, sasa unakuta wanatoka lets say Africa leo asubuhi, kesho yake ameshafika America au Asia.
Mkuu FUSO, Umenena vyema sana, naomba ninukuu mistari miwili ya kitabu kitakatifu cha Biblia Isaya 55:8-9 inasema "Maana mawazo yangu si mawazo yenu,wala njia zenu si njia zangu;asema Bwana. Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi,kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu"
Tunachopaswa ni kumwabudu Mungu Muumbaji kwa kushika kile kidogo alichotujalia kukifahamu kuhusu yeye ili itakapompendeza,siku moja atupatie fursa ya kuketi naye na atufunulie mambo mengi makuu ambayo akili zetu haziwezi kuyaelewa kwa sasa.
Tatizo lenu mnaanini sayansi ambayo na wao wanachofanya ni kukisia tu baada ya mifupa (genetic) kuipima maabara; ki uhalisia binadamu wa kale alikuwa na nguvu za ajabu; sasa kama anaweza nyenyua uzito wa tani tano; hivi akizaliwa anakuwa na nguvu gani kwa misuli yake kumfanya ashindwe kutembea. Kwanza fikri mazingira ya porini baridi kali; majani; chakula matunda ila watoto walizaliwa na kuishi.Apa ndugu umeongeza chumvi