Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

Wazee wa kujilipua...

Mchongo wa kwenda Canada huu...

View attachment 2071010
View attachment 2071012View attachment 2071014View attachment 2071015View attachment 2071016View attachment 2071017
wadau wa sekta ya afy na ngo za aids/hiv hii ni fursa kubwa kwenu piaa
 
Visa Sponsorship for U.S. Nursing Students at AdventHealth

Qualifications

What You Will Need:

Must be a graduate of a school of nursing (CCNE or ACEN preferred)
Must be graduating in the next year or have graduated within the past year
Current RN license (may apply without license, but must have license prior to licensure hire)
Bachelor of Science in Nursing (BSN) preferred
Current BLS from the American Heart Association.
Professional Resume
 
Share na ndugu jamaa , inaweza kuwa faa hii fursa!
 
Meet Nadia Nadim : An Inspiration to the world. 🙌🏻

Nadia fled Afghanistan at age 11 after her father was killed by Taliban, After being dropped off in Italy and spending several days inside a truck with the expectations of arriving in London (where some of Nadia's family lived) - they never arrived in England and instead were dropped off at a refugee camp in rural Denmark..

Nadia, her mother and five siblings lived in the refugee camp for nine months. During this time in rural Denmark, Nadia was exploring the area around where she spotted a group of girls playing football. She was nervous at the time and would hover behind a fence to watch this life-changing moment happen before her eyes. And there's where she fell in love with the game.

She went on representing Danish National Team and she has already now represented Denmark 99 times, scored 200 career goals, played for Big Clubs like PSG and Man City.

But while her football career was progressing at a rapid speed, Nadim, who can speak upto seven languages in total, had other dreams and aspirations away from the beautiful game. Last week, she officially became a Doctor - after five years of study whilst playing professional football. 🙌🏻❤️

Nothing is Impossible in This World, if you have the courage & determination to do it! 🌍🔥 @nadi9nadim

Screenshot_20220122-191412_Facebook.jpg
 
Ok tumoteka nafasi ya 77 hadi 62.. je kuna tofauti kubwa kati ya nafsi tuliyokuwa mwanzo na sasa??

Screenshot_20220407-125702_Facebook.jpg
 
Application za Diversity visa Lottery ya U.S / Green card tayari miefunguliwa..

Inahitajika uwe na vali Electronic PASSPORT /temporary psili uweze kuapply katika shindano hili!!
Matokeo ya diversity visa program yametoka may 7, 2022 check out!!!!
Good luck. . .
www.Dvprogram.state.gov
 
Wazee wa kujilipua nje ya nchi huyu ni mbongo mwenzetu yupo USA ana toa elimu ya kutosha jinsi ya kujilipua pia anaweza akakuguide. Wenzetu hawanyimani fursa thus utamkuta Mkenya hadi Armenian na nchi nyingi Ulaya, Mkenya yupo sababu wanapeana connection tofauti na wabongo diaspora wao Wana ubinafsi udhani watachukuliwa riziki zao.
Mfollow kwenye page yake. Tafuta kwanza ujuzi kabla ujaenda nje, nenda kihalali, usitafute panya au shortcut
 
Imenijenga sana hii, ubarikiwe mkuu

Lakini sijaona namna ya kuingia huko marekani, au sijaisikiliza vizuri
 
Barikiwa sna
CC: SueIsmael

Nyingi bado dirisha liko wazi kwa wanaotaka kuanza mwisho wa mwaka huu au mwanzo wa mwaka ujao. Baadhi hizi hapa:

Canada: Scholarships for Non-Canadians

UK: Scholarships | Chevening

Sweden: https://studyinsweden.se/scholarships/#

Switzerland: Scholarships

EU EMJMD Catalogue

USA: Education & Culture | U.S. Embassy in Tanzania

Kwa wanaotafuta ufadhili wa masomo nchi nyingine:
1. Hakikisha unatafuta taarifa katika sehemu sahihi, maana matapeli ni wengi. Anza na tovuti za balozi za nchi husika, tovuti ya wizara ya nje, TCU, tovuti za vyuo husika, nk
2. Umahiri katika lugha ya kiingereza (kama ndiyo lugha ya kufundishia) ni muhimu sana.
3. Jitahidi kutafuta makundi au mtandao wa wanufaika wa ufadhili unaotafuta (alumni groups) kabla ya kuomba.
4. Hakikisha shahada/stashahada utakayosomea inatambulika na TCU kabla ya kusomea.

Kila la kheri!
Credit: CC: SueIsmael

THANKS
 
Imenijenga sana hii, ubarikiwe mkuu

Lakini sijaona namna ya kuingia huko marekani, au sijaisikiliza vizuri
Njia ni kupitia

Tourist visa : kwenda kama mtalii
Masomo : students visa
Ndoa : uoe/uolewe na Mmarekani.

Visa zote hizo zina vigezo vya lazima uwe navyo uli kuweza kupewa hizo non immigrant visas..

Green card Lottery/ Diversity visa lottery: hii ni visa ya ukaazi wa kudumu ni bahati nasibu inayochezwa kila ifikapo mwezi wa 10 miwsho 11, ndio fiscal year.
 
Wazee wa kujilipua nje ya nchi huyu ni mbongo mwenzetu yupo USA ana toa elimu ya kutosha jinsi ya kujilipua pia anaweza akakuguide. Wenzetu hawanyimani fursa thus utamkuta Mkenya hadi Armenian na nchi nyingi Ulaya, Mkenya yupo sababu wanapeana connection tofauti na wabongo diaspora wao Wana ubinafsi udhani watachukuliwa riziki zao.
Mfollow kwenye page yake. Tafuta kwanza ujuzi kabla ujaenda nje, nenda kihalali, usitafute panya au shortcut

Yes immigrants Makes money Abroad
 
Back
Top Bottom