Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

WTANZANIA ACHENI UJINGA

UNAMPLEKAJE MTOTO WAKO KUSOMA INDIA??

KAMA UNAMPELEKA INDIA NI BORA MPELEKE ULAYA KAMA DEBMARK, NORWAY, HOLLAND, SWISS. Uhakika wa Kazi atakua nao kwenye hizo nchi.

ASIA umnapoteza MUDA NA WAKATI. mtoto anarudi TZ MAZIGANYANZA
Nakubaliana na ww, sehemu za kusoma nzuri binafsi naamini ni ulaya na marekani au Canada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilienda kwao pale ni mtz ceo afu mbona sema tu vigezo nilikuw sina nmeonganisha shule mpaka masters so sina experience akanambia Canada watakataa alinijibu vizur tu ata kabla sijaanza process
Hao edufyx vipi mkuu? Ulifanikiwa kuwa tumia?
 
Back
Top Bottom