Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

Ndugu yenu sina mengi ya kuaandika nilikuwa na haya machache ya kusaidiwa<br />Mimi ni mjasiriamali na pia napenda kilimo sana lkn sina uzoefu wa muda mrefu<br />Ninataka kubadili makazi ya biashara zangu kitoka mkoa huu nilipo kwenda mkoa mwingine nakatika mkoa ambao naona akili yangu inapatamani ni Ruvuma hasa songea mjini<br />Ndugu zangu kwa yeyote yuko familiar na hapa atujuze nji fursa zipi zinafaa kwa huko na hali halisi pasina uongo wala kuvunja moyo tuelezane hali ikoje kwa huko
 
Habari JF team,

Kama meseji ilivyo hapo juu inahusu wewe mwenye mawazo ya kumfanya kijana mwenzako aweze kujikwamua kimaisha hasa kwa wale wenye uwezo mdogo wa kufikiria au wenye mitaji wasijue nini cha kufanya.

Kama kuna aina yoyote ya biashara unaijua yenye manufaa comment hapo na mwenye kuhitaji ata chukua wazo lako na kukushuru kama mdau na mtoaji.

Uwe na wazo kubwa dogo la kati wewe weka tu utakuwa umeokoa watu zaidi ya mia bila ya wewe kujua.

computer-buy-money-banknotes-163056.jpeg
 
Sio kila mwenye pesa basi anatakiwa kufanya buashara.

Biashara ni Passion na sio show.

Kama huna commitment hutafika kokote kule,

KUHUSU IDEA
Idea inatoka kwako, na Idea hujengwa kulingana na mazingira.

Matatizo ndo hugeuzwa kuwa Idea. Sasa lazima ujiulize je kuna matatizo unayaona iliuyageuze kuwa furusa?

Ukisha yageuza sasa Pesa ni matokeo.

Ili upate pesa lazima uwe umesolve mahitaji ya watu lazima utatue shida zao.

In return pesa zitamiminika. Hakuna pesa kama huja tatua chochote kile
 
Habari zenu wadau ...naomba kujuzwa fulsa zinazopztikana chato au hata viji.maeneo jirani na hayo........asanteni
 
Nataka kuwekeza mwanza,kufungua duka la computer accessories and smartphones.Naombeni ushauri ni eneo lipi la kuwekeza kwa eneo la Mwanza na changamoto zingine.Nataka next week niende Mwanza kwa sababu hiyo ya kutafiti soko.
Nakaribisha: maoni na uchambuzi.
 
Daa natamani sana kuishi tunduma but sijajua vyumba wanapangishaje kwa mwezi
Aise Tunduma kupo Poa sana, nimeenda kutembea ijumaa na jumamosi, kwanza kuna biashara ya nguo, bei chee,na bidhaa nyingine kwa bei rahisi nadhan ni kwa sababu ya mwingiliano wa watz, wazanbiano, na wakongoman,

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Daa natamani sana kuishi tunduma but sijajua vyumba wanapangishaje kwa mwezi
Aise Tunduma kupo Poa sana, nimeenda kutembea ijumaa na jumamosi, kwanza kuna biashara ya nguo, bei chee,na bidhaa nyingine kwa bei rahisi nadhan ni kwa sababu ya mwingiliano wa watz, wazanbiano, na wakongoman,

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Sio kila mwenye pesa basi anatakiwa kufanya buashara.

Biashara ni Passion na sio show.

Kama huna commitment hutafika kokote kule,

KUHUSU IDEA
Idea inatoka kwako, na Idea hujengwa kulingana na mazingira.

Matatizo ndo hugeuzwa kuwa Idea. Sasa lazima ujiulize je kuna matatizo unayaona iliuyageuze kuwa furusa?

Ukisha yageuza sasa Pesa ni matokeo.

Ili upate pesa lazima uwe umesolve mahitaji ya watu lazima utatue shida zao.

In return pesa zitamiminika. Hakuna pesa kama huja tatua chochote kile
Asante
 
Nasikia mpaka Wa Kongo (kasumbaleshi ) unapitia tunduma kunawakongo na nchi zilizopakana wanakutana hapo nasikia biashara ni nyingi sana ya vyakula na bidhaa nyingine.
Jamani kwa anaejua maeneo hayo atujuze !

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Biashara ipo but too overrated.Biashara ya mazao bei hazina tofauti kubwa na maeneo mengine.Labda biashara ya guests,chakula na usafiri wa ndani ya mji.Otherwise sijaona kitu cha tofauti sana.Ukitaka mazao nenda Mloo mbozi
 
Aise Tunduma kupo Poa sana, nimeenda kutembea ijumaa na jumamosi, kwanza kuna biashara ya nguo, bei chee,na bidhaa nyingine kwa bei rahisi nadhan ni kwa sababu ya mwingiliano wa watz, wazanbiano, na wakongoman,

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Kwamba hizi ni bei chee ww uko wapi huko tuje tuuz maana sie tunaona bei ziko juu sana sababu ya wazambia
 
Back
Top Bottom