kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 17,995
- 22,012
Habari za leo wangu
Kuna frem nimeipata maeneo ya karibia na hospitali ya mkoa ya Geita. Naombeni ushauri niweke biashara gani hapo itakayochanganya vizuri? Tayar kuna maduka jirani yanauza vitu kama nguo za watoto wachanga...mpesa...mabeseni no
Natanguliza shukrani
Cjajua mtaji wako. Ingependeza sana PHAMACE MKUU