Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,319
- 4,352
Nasubiri za kilimo, ufugaji na za uhandisi sauti.
asante sana mkuu, umenipa pa kuanziaNaipendelea simiyu zamani(bariadi)ni mji unaoanza kuwa.naona watu wengi wanafanya biashara hasa za nguo,mazao na mengineyo.ila biashara za pale ni za msimu.
Kwa kua ni mji unaokua na kuona wajenzi wengi wanapenda tofali za kuchoma nikajaribu kwa mtaji mdogo tu
Tofali bichi sh.7@1
Kuni sh 50000 mapori mengi
Usafiri 20000 wa tela la ngombe. kuleta maji 10000.
Eneo nilipewa bure bada ya biashara niliwapa 20000 ya shukrani tu.
Wa kuchoma na kupanga niliwapa lak 1.
Nilichoma tofali 10000.
Mahesabu ni
7×10000+50000+20000+20000+100000+10000=370000
Mtaji ni 370000 fanya kuna tofal zitaharibika so weka 30000.pesa yote ya mtaji ni lak 4 mpaka tofali kuiva teyar kwa kuuzwa.
TWENDE KWENYE BIASHARA SASA
minimum tofali moja 120tsh
120×10000=1200000tsh
Kama bei ya kawaida 150 tsh
150×10000=1500000tsh
Ukitoa mtaji jibu utakua nalo umebaki na faida ya sh. Ngap
MUHIMU
hii biashara ni ya wakati wote ila bei zinapanda tokana na msimu.msimu wa mvua ndo tofali haikamatiki.msimu wa kiangazi bei inakua chini mana wapiga tofali ni wengi sana.
CHANGAMOTO
biashara hii siyo ya hapo kwa papo wakati mwingine inachukua mda mpaka kuja kuuza so kama huna shughuli ingine utataabika mzee.
Kama biashara yako itakua ni ya huakika na kuaminika utakula tenda nyingi mkuu na hizo ndo zinalipa hakuna mfano.sababu ukiweka mtaji mkubwa na faida inakua kubwa mfano ukiweka tofali laki moja faida utaipenda zaidi.
Pia kuna wale wanunuzi watofal chache chache hawanunui tanuru nzima waepuke wanavuruga malengo
Note:hii biashara nilifanya 2014 sijui kwa sasa bei zikoje
skia,kama una mil.3 ×2=6mil hatuwez changa tukakodi hata jengo moja, tukaweka mtu wa diplo au certificate afu tukanunua dawa mbili tatu yaan panadol,na zle basic afu tukaendeleza taratbu ,,,u know what
listen,kati ya sekta za kuwekeza now adays ni afya,chakula,energy,education, na technology askwambie mtu hz issue znalipa n balaaaaa
tatzo letu wengi tunafanya uchuuzi na sio biashara yan leo ipo kesho haipo, just assume mtu unauza vinywaji kama vile maji ma soda hv utatoka leo kwl??
asee hili swala la afya nlikuwa naliwaza sana mpaka niqafikiria kifungua pharmacy,nkastop kwanza,sasa hii idea imekuja kuniamsha tena
i have a lot but lets end here.
Baki njia kuu mchepuko sio diri.Wapendwa, ni muda sasa nawaza wapi panafaa kwa biashara na mzunguko wake wa pesa ni mkubwa kulinganisha na mahala pengine. Toa mji wa mamwinyi TANGA
so sad, nlihisi uliliona ukaIGNORE kama ulivonfanyia Pm ila anyway nilijiingiza kwny biashara ya usafirishaji na sasa nnapoandika haya nko na huzuni ya kupoteza milions zangu zaid ya hzo nilizoandka hapo.Hii ndo naiona leo mkuu wangu nadhan shida ya notification...haya mambo yanawezekana mkitia nia...on a serious note biashara za uchuuzi zinachosha sana sana!
so sad, nlihisi uliliona ukaIGNORE kama ulivonfanyia Pm ila anyway nilijiingiza kwny biashara ya usafirishaji na sasa nnapoandika haya nko na huzuni ya kupoteza milions zangu zaid ya hzo nilizoandka hapo.
anyway yote maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
haya bhanaDuh pole sana mkuu hizo ndo changamoto angalia ulipojikwaa theb rekebisha endelea na safari..sijawah ignore pm boss .! Ni wewe tu haukuwa serious ..nikiona huko serious naachana na ww!
Mm niko tyr kujoin kama mhudum wa afya....carrier yangu mm n afyaskia,kama una mil.3 ×2=6mil hatuwez changa tukakodi hata jengo moja, tukaweka mtu wa diplo au certificate afu tukanunua dawa mbili tatu yaan panadol,na zle basic afu tukaendeleza taratbu ,,,u know what
listen,kati ya sekta za kuwekeza now adays ni afya,chakula,energy,education, na technology askwambie mtu hz issue znalipa n balaaaaa
tatzo letu wengi tunafanya uchuuzi na sio biashara yan leo ipo kesho haipo, just assume mtu unauza vinywaji kama vile maji ma soda hv utatoka leo kwl??
asee hili swala la afya nlikuwa naliwaza sana mpaka niqafikiria kifungua pharmacy,nkastop kwanza,sasa hii idea imekuja kuniamsha tena
i have a lot but lets end here.