Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

Mi ni mkazi wa Arusha. Nafanya issue za utalii mkuu.
tuanzie pia kwenye huohuo utalii
watalii wengi wakishatoka Arusha na Kilimanjaro kabla ya kurudi makwao hupitia lushoto kwa mapumziko na kufanya cultural tourism.....tazama hapo unawezapata fursa mkuu
 
Wadau habarini. Naombeni kujuzwa fursa za kibiashara kwa sasa kwa mkoa wa Geita. Natamani sana kufanya biashara mkoa huo.
Natanguliza shukrani
 
Bonjour
Hey guys nna imani mnaendelea vyema na juhudi za kusaka maisha kivyovyote vile(mpaka kieleweke).
Leo nimekuja na hoja hiyo hapo juu kwa wale wenye uzoefu.
Unaweka jina la mkoa,ikiwezekana na wilaya na unaeleza deal inayolipa hapo ili kijana mwingine mwenye interest aweze kutega channel zake
2018 kamata fursa twenzetu
Karibuni

[emoji117] kilimo
[emoji117] biashara
[emoji117] kazi
[emoji117] nyinginezo
 
Unapeleka mjini, wateja wengi.


Hawa watu wa Mbeya ni kwenda nao taratibu Sana'a.
Pindi unapotaka kuwaletea tunda kama tikitiki au tango.

Usije Lima kwa wingi yakakuozea au uwe na uhakika wa soko la zao lako.

Au mfano unataka kuwauzia sabuni ya maji itahitaji uwe mwalimu usiye na haraka ya faida ya zao lako.


NOTE:Baadhi ya maeneo.
 
Niko likizo kwa sasa nataka kufanya biashara ila naomba msaada kwa sasa biashara gani itafaa? Nipo karatu
 
Habari za leo wangu
Kuna frem nimeipata maeneo ya karibia na hospitali ya mkoa ya Geita. Naombeni ushauri niweke biashara gani hapo itakayochanganya vizuri? Tayar kuna maduka jirani yanauza vitu kama nguo za watoto wachanga...mpesa...mabeseni no
Natanguliza shukrani
 
Habari za leo wangu
Kuna frem nimeipata maeneo ya karibia na hospitali ya mkoa ya Geita. Naombeni ushauri niweke biashara gani hapo itakayochanganya vizuri? Tayar kuna maduka jirani yanauza vitu kama nguo za watoto wachanga...mpesa...mabeseni no
Natanguliza shukrani
hahahaha Hakiya Mungu
 
fungua mgahawa .watu wapate chakula kizuri .wengine wawanulie wagonjwa wao..pawe safiii.mchangamkie wateja .utatusua
 
Ndugu yenu sina mengi ya kuaandika nilikuwa na haya machache ya kusaidiwa
Mimi ni mjasiriamali na pia napenda kilimo sana lkn sina uzoefu wa muda mrefu
Ninataka kubadili makazi ya biashara zangu kitoka mkoa huu nilipo kwenda mkoa mwingine nakatika mkoa ambao naona akili yangu inapatamani ni Ruvuma hasa songea mjini
Ndugu zangu kwa yeyote yuko familiar na hapa atujuze nji fursa zipi zinafaa kwa huko na hali halisi pasina uongo wala kuvunja moyo tuelezane hali ikoje kwa huko
 
Back
Top Bottom