Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

DSM vipi?

Post sent using JamiiForums mobile app


napapenda kibiashara km akili yako iko active nisehem nzuri kwakweli(binafsi mie dar nningekuwa bali sanaaaa)
moro waluguru wameshikilia hapa mjini kati nyumba zao za tembe had kero!
 
ivankey fafanua kidogo mkuu taja hata na majina ya vijiji nategemea kushuka huko msimu wa kilimo ukianza nikachungulie wenyeji wanachakarikaje then nirudi nijipange
 
Kwanza ulitakiwa useme aina ya biashara ambayo unafikiria kuifanya. Baada ya hapo ndipo nitakushauri kwa kuanzia kwenye pendekezo lako
Nataka kuja kahama kufanya biashara ya nguo hasa mitumba kwenye magulio.Niko Moro naenda dar weekend ijayo kufunga mzigo.Naomba unishauri ni nguo za aina gani naweza kuwakamata wasukuma huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli umenena asee
Moro
Tanga
shinyanga
tatizo siyo watu, ila huenda biashara zenu haziendani na mazingira hayo, mfano we unaenda shinyanga au moro unafungua duka na nafaka unategemea biashara iwe kali kama Dar, hapo utakuwa umepotea huko wanaprocess nafaka, we fungua duka la vitu kama cement, sukari ngano na vitu vingine ambavo havipatikani kwa urahisi pia biashara angalia na kipato cha watu, huoni wachina wanavofanya wanauwezo wakuuza bidhaa ulaya, america na Africa. sasa kila mtu anataka afanya business wa watu wa Dar peke yake huo ni uzembe wa kufikiria nje ya box.
 
Mku mfano wilaya kama Ruangwa na Kilosa Mbingu nenda ukafanye utafiti kabla ya maamuzi.

Mfano Mbingu ukianza na Mashine za kukoboa mpunga na kujenga magodawuni ya kuhifadhia mpunga wa wakulima utapata fedha na huku ukisoma fursa kubwa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ivankey fafanua kidogo mkuu taja hata na majina ya vijiji nategemea kushuka huko msimu wa kilimo ukianza nikachungulie wenyeji wanachakarikaje then nirudi nijipange
Kama zipi kaka Fursa Sehemu za Mbinga,mgazini, na sehem mbalimbali ni kilimo kin trend sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama kichwa cha habari kinavyoeleza naanza kama ifuatavyo.
1.RUVUMA.
mkoani ruvuma kuna kilimo cha mazao ya biashara kama kahawa katika wilaya ya mbinga, soya na ufuta hulimwa namtumbo, kuna biashara ya mahindi kutoa songea kupeleka mikoa mingine kwani wanazalisha sana mahindi, lakini pia unaweza kupeleka bidhaa mbalimbali za madukani ukauwauzia wenye maduka,
Ruvuma pia bidhaa za mtumba kama viatu, nguo za kike, mashuka vinanunuliwa sana.
Ruvuma wana kilimo cha mpunga wa kumwagilia katika wilaya ya namtumbo hasa vijiji vya kitanda.
 
Back
Top Bottom