Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

Kusini maeneo mazuri ni tunduma (songwe), uyole mbeye (viaz, mchele, mbao, ndizi n.k) Tunduma biashara za mavazi, dagaa na mazao, vitenge, sukari na vilevi ni mpango wa mjini. Pia kupanda kwa kwacha ya zambia na muingiliano wa wazambia na tunduma pia ni moja ya advantage ya tunduma. Ikumbukwe boda ya tunduma ni y kwanza kuwa na mzunguko wa hela kat y boda zote TZ.
 
kwa nn tutoe jiji la tanga ambalo ni jiji la pili kwa viwanda vikubwa nchini na pua ni miongoni mwa majiji manne yanayochangia pato kubwa kwenye uchumi wa taifa letu?
Nko na maana hapa tanga kazi kama kazi hakuna
 
Kusini maeneo mazuri ni tunduma (songwe), uyole mbeye (viaz, mchele, mbao, ndizi n.k) Tunduma biashara za mavazi, dagaa na mazao, vitenge, sukari na vilevi ni mpango wa mjini. Pia kupanda kwa kwacha ya zambia na muingiliano wa wazambia na tunduma pia ni moja ya advantage ya tunduma. Ikumbukwe boda ya tunduma ni y kwanza kuwa na mzunguko wa hela kat y boda zote TZ.
Nimependa fursa za tunduma...uko tunduma mkuu?
 
Aiseeeee......
Ukitaka kifanya biashara, njoo kahama.
Kahama kuna mzunguko mkubwa wa pesa ndio sababu karibia kila aina ya biashara inatoka
Mkuu kahama biashara ipi hasa inafanya vyema?
Wewe unafanya biashara ipi hasa?
 
Huku biashara zote zinatoka. Kikubwa ujue kujisimami. Sana unatakiwa uanze na wewe mwenyewe kwa kujua kwamba nia na lengo lako ni kufanya biashara gani.
Kuhusu mimi na biashara ninayo ifanya........ Naomba tuseme pm
 
Vip biashara ya duka la vyakula huko?
 
Nimefanya utafiti mdogo sana.unajua mimi nimependa sana simiyu mana ndo mji unaoanza kukua.sasa hivi pale biashara ya nyanya inalipa sana.pia matunda mana wenyej wa pale wamejikita kwenye kilimo cha pamba ,karanga,viazi na mahindi.ni wachache wanalima kilimo cha kumwagilia so ukiweza kujiwekeza kwenye kilimo cha nyanya,mboga mboga,matango na matikiti fursa ya kufanikiwa ni kubwa sana
 
Kusini maeneo mazuri ni tunduma (songwe), uyole mbeye (viaz, mchele, mbao, ndizi n.k) Tunduma biashara za mavazi, dagaa na mazao, vitenge, sukari na vilevi ni mpango wa mjini. Pia kupanda kwa kwacha ya zambia na muingiliano wa wazambia na tunduma pia ni moja ya advantage ya tunduma. Ikumbukwe boda ya tunduma ni y kwanza kuwa na mzunguko wa hela kat y boda zote TZ.
naelewa sana mitaa ya manzese....
 
Mi nna wazo la duka la spea kati ya dar, morogoro au dodoma! Ipi hapo ntajikwamua wakuu na mtaji gani utatosha japo kwa kuanzia?
 
Back
Top Bottom