Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

Kilimanjaro:


#1. Kilimo cha Tangawizi Wilaya ya Same..... Unaweza kununua pia Gunia la kilo 100 ni 180,000 hadi 260,000.


#2. Ruvu.. Same

Hapa kuna kilimo cha vitunguu na Nyanya.


#3. Mwanga.... Kileo, Butu, Kwakoa na Toloha ni tambarare panafaa Kilimo.
 
Mwanza fursa za kibiashara/uwekezaji:
1. Kilimo
2. Utalii: hoteli, mbuga za wanyama, ziwa victoria, visiwa, mapango ya mawe, uchimbaji madini
3. Biashara
4. Usafirishaji
5. Uchimbaji au biashara ya madini
6. Burudani: sehemu za michezo wakubwa kwa wadogo
7. Uvuvi haueleweki wakati huu
 
Mpanda-mpunga,mahindi,karanga,

biashara ya mitishamba inatoka sana huku
Mkuu vipi nipm tuwasiliane tuone what to do
Fursa ni nafasi ya kufanya jambo upate pesa, fursa huwa imejificha, fursa sio jambo lelema, Fursa ni pesa,
Mwenye macho huona fursa, kipofu hubak maskini, maskini ni mtu kipofu asie ona pesa! Kuona fursa yahitaj fikra ndefu na ujasir Wa kudhubutu!
 
Mkuu vipi nipm tuwasiliane tuone what to do
Nitakuchek mkuu,
Fursa sio mchezo, fursa sio kuorodhesha mwanza kuna sato, iringa mbao, Singda elizeti, sumbawanga mahindi, nk
Hivyo ni vigezo tu vya kukusaidie ww uweze kuona au kugundua fursa flani
Kaz unazoziona zinazofanywa na binadamu Wa Leo ni vigezo nya kukuwezesha tambua jinsi ya kutengeneza pesa kwa kutumia makosa na udhaifu wao katika utendaji wao
Kiufupi sio kila mtu anauwezo Wa kuona fursa imejifichaje ila watu wengi wanauwezo Wa kuiga biashara zinazofanywa na watu kwa sasa! Na Mara nyingi znakuwa hazna faida kubwa
 
Ingekuwa bora zaidi mngetumia Uzi huu kuorodhesha sehemu ulipo na matatizo yanayo wakumba eneo hilo,
Au raha na starehe mzoozitaka au kuzipenda eneo hilo hivyo itakuwa rahisi watu wenye fikra ndefu kugundua au kuona fursa na jinsi ya kutengeneza pesa kijasiriamali!
On how To identify business opportunities need critical thinkers, people who are thinking and reasoning
 
Back
Top Bottom