Edgr_munis
New Member
- May 9, 2025
- 4
- 3
Mkuu nicheki, 0769175425
Umeulizwa shingapi inahitajika unaleta maelezo?! Andika figure hapo boss kajitokeza mfanye kazi😂Mtaji wa kawaida kwa kuanzia kikubwa ni vibali na upatikanaji wa spirit na kuhusu kuchanganya tunaweza kuandaa eneo dogo likawa safi na vifaa kadhaa vya kuchanganya pia kama hatuna uwezo zaidi wa kupata vifaa mfano alcohometer(DMA) tunaweza kutumia thermometer na hydrometer ila kutambua kiasi cha alcohol kwenye product tunayotengeneza
😂😂Kwani spiriti iyo ni Ile ya vidonda au Kuna nyengine
Jf pindi Fulani ni kukatishana tamaa tu.atakaye ona tunaweza kufanya kazi basi atanicheki tutafanya kazi.otherwise naona najicholesha tu na matusi juuUmeulizwa shingapi inahitajika unaleta maelezo?! Andika figure hapo boss kajitokeza mfanye kazi😂
Edigar vipi Mkuu?Mkuu nicheki, 0769175425
Poa kaka, ulishapata mtu wakufanya nae kaziEdigar vipi Mkuu?
Hpn nipo tu mkuu kalibuPoa kaka, ulishapata mtu wakufanya nae kazi
Nitumie namba zako mkuuHpn nipo tu mkuu kalibu
Sasa wewe unaulizwa project yako inahitaji shingap Husemi unazunguka zunguka! Taja figure mzee!Jf pindi Fulani ni kukatishana tamaa tu.atakaye ona tunaweza kufanya kazi basi atanicheki tutafanya kazi.otherwise naona najicholesha tu na matusi juu