Mkuu Lita 1 ya spirit now inaweza kufika 8000.kwahyo kusema nikutajie bei kabisa hpana ila ni kukaa chini na kuangalia kutokana na mtaji wetu tuanze na kiasi gani .pia cha mhim zaidi ni vibali mkuuBei gani inahitajika?
OK itapendeza zaidiKwa hiyo huyo muwekezaji ndio akae chini apige mahesabu ni mtaji kiasi gani anawekeza? You need to be specific unapotafuta muwekezaji, they want numbers.
Kuna jamaa yangu tayari kaagiza mashine za hii project ngoja nimchimbe zaidi.
OK shukuraniKijana unapotaka kualika wawekezaji kwenye biashara au wazo lako unatakiwa kuwashawishi kwa kujieleza kama unamfundisha mtu asiyejua kitu then unaweka nambaz za investment costs. operations na outputs (profit/loss) angalau hata kidogo. Mwekezaji anataka faida muda wote na mtu mwenye pesa ana mahali pa kuipeleka muda wote (pesa ni liquid) so ili aahirishe kupeleka pesa kwingine achukue wazo lako unatakiwa kufanya kazi yako ya kutoa maelezo ya kutosha! Sio uweke heading na sifa zako binafsi halafu unawapa watu kazi ya kukuuliza maswali na hata maswali yenyewe hujibu au unajibu kitu kingine kabisa, kama vile hukuelewa swali.
Ushauri wa bure...
Nitumie namba dm tuyajengeOK shukurani
OK mkuuNitumie namba dm tuyajenge
Mkuu tumefikia huku?.nadhani nishaeleza vizuri kuhu jambo hiliMtoa mada hajielewi kabisa,swala hapa ni mtaji.aseme anahitaji kiasi gani.
Unakwepa maswali ya msingi ya wadau mpaka unaonekana mbabaishaji,kaa chini andika mchanganuo wako vizuri,utaje initial capitalMkuu Lita 1 ya spirit now inaweza kufika 8000.kwahyo kusema nikutajie bei kabisa hpana ila ni kukaa chini na kuangalia kutokana na mtaji wetu tuanze na kiasi gani .pia cha mhim zaidi ni vibali mkuu
Allah amjaalie apate mtaji
Ni nyingine inayoanzia 96% hadi 100% hiyo ya vidonda imefanyiwa dilution na kuwekewa vitu kwa matumizi ya hospitalKwani spiriti iyo ni Ile ya vidonda au Kuna nyengine
Asili yake ni moja inakotokea ila utofauti ni kwenye matumizi kutokana na asilimia za ukali jinsi ilivyozimuliwa.Kwani spiriti iyo ni Ile ya vidonda au Kuna nyengine
Nicheki pm mkuuWakuu Natumai mko salama na mnaendelea vyema.
Mimi ni kijana mwenye ndoto kubwa na maono makubwa ya kujiajiri na kuleta mabadiliko katika sekta ya utengenezaji wa pombe kali. Ninapenda sana fani hii, na kwa miaka kadhaa nimejifunza na kupata uzoefu wa hali ya juu katika kutengeneza pombe kali zenye ubora wa juu, ladha murua, na zinazokidhi viwango vya soko.
Nina maarifa ya kina katika mchakato mzima wa uzalishaji, udhibiti wa ubora, na hata mbinu bora za masoko. Najua ni viungo gani vinavyotengeneza bidhaa bora, teknolojia sahihi za uzalishaji, na vigezo vya kuhakikisha tunatoa bidhaa inayokubalika na kushindana na chapa kubwa sokoni.
Changamoto yangu pekee ni mtaji wa kuanzisha biashara hii, na ndio maana natafuta muwekezaji au mshirika wa kibiashara ambaye anaweza kuwekeza katika mradi huu, ili kwa pamoja tuanzishe biashara yenye msingi imara, ubunifu wa kipekee, na chapa itakayovutia wateja wengi sokoni.
Soko lipo na mahitaji ni makubwa. Watu wanahitaji bidhaa bora, na nina hakika tunaweza kuleta mabadiliko makubwa katika sekta hii kwa kuzalisha pombe kali yenye ubora wa kimataifa. Nina dhamira, ujuzi, na bidii—kinachokosekana ni mtaji wa kufanikisha ndoto hii.
Hili siyo tu wazo la biashara, bali ni fursa ya kipekee ya kuwekeza katika sekta yenye ukuaji wa haraka na faida kubwa. Ikiwa una nia ya kushirikiana nami, ningependa kupata nafasi ya kujadili kwa kina jinsi tunavyoweza kushirikiana na kufanikisha mradi huu. Siyo lazima tuanze na volume kubwa tuweza kuanza hata kwa Lita kadhaa za spirit hivyo kampuni itakuwa polepole