Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,994
- 8,271
✍🏾NAFASI 400 ZA AJIRA QATAR – MADEREVA WA MABASI NA MALORI MAKUBWA!
Kupitia ushirikiano na Kampuni yetu Tanzu, Imarahorizon, madereva 400 wanahitajika kwenda kufanya kazi nchini Qatar chini ya kampuni ya Mowasalat.
📔Faida:
✅ Visa, nauli ya ndege, na gharama zote muhimu zitalipiwa kikamilifu.
✅ Mafunzo ya kitaalamu ya udereva
✅ Malazi, matibabu na bima ya maisha zitatolewa.
⚠️ Hakuna malipo yoyote muombaji atagharamia.
Bonyeza link hii International Career – Benjamin Mkapa Foundation na ujaze taarifa zako muhimu.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 15. 04. 2025.