Fursa Bomba la Mafuta kwa watanzania-UPDATES

Angalia list hapa ya makapuni ya ujenzi na suppliers kwenye Database ya EWURA
 

Attachments

  • LSSP-UPDATE-APRIL-2021.pdf
    871.2 KB · Views: 33
kama kuna mtu anaweza nipa ile list ya vijiji/vitongoji 25 bomba la mafuta linakopita tz anipe wakuu
 
Habari za leo wadau.
Kikao cha kueleza fursa za bomba la mafuta kinafanyika hivi sasa katika ukumbi wa halmashauri Missenyi mkoani Kagera chini ya Waziri wa Nishati na Madini .

Kumbuka bomba hili kwa Tanzania linaanzia hapa .
 
Wapo wabunge wa Kamati ya Nishati na madini akiwemo Nusrat Hanje kutoka Chadema pamoja wabunge wote wa mkoa wa Kagera.
 
Back
Top Bottom