Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,608
- 93,413
Kufuatia kifo cha member member mwenzentu wa JF Le Mutuz pamoja na mengi mengineyo lakini kubwa hakuna wa kuandika wasifu wa marehemu wala historia yake maana kazi hiyo aliifanya yeye mwenyewe.
Hivyo natoa rai katika mambo ya maana sana aliyofanya Le Mutuz ni pamoja na kuandika historia yake yeye mwenyewe na iko hapa JF.
Tusikubali kuandikiwa historia na watu wengine, kuna msemo wa mtaani wanasema usipojipanga tutakupanga, tujipange tusisubiri kupangwa na kina Absalom Kibanda.