umeona eeeh Kaizer.... sometimes wanasema "akili nyingi........."
na si unakumbuka ule usemi "nabii hakubaliki nyumbani" rafiki?
ndo kama hivi sasa, yeye anaona yupo karibu nami basi ananichukulia kikawaida tu.....
It seems you are among great thinker FP.Apple:I look like a human heart.
Mango:I look like a stomach.
Grapes:I look like eyes.
Banana:I don't like this game..
teh teh tehhhhhhh....
cc. Arushaone, watu8, Asprin, BAK, Nyani Ngabu, Erickb52, Baba_Enock, The Boss, Dark City, Bishanga, Mtambuzi, kiwatengu, Mr Rocky, C6 Excellent, Baba V, zumbemkuu, Filipo, Bujibuji, manoah, Mungi, Young Master, sosoliso, Blaine, bombom, CPU, figganigga, HorsePower, Jiwe Linaloishi, Kapalampya, Mkusa, Ndibalema, Nicas Mtei, Mwakalinga Y. R, puravida, saudari, WABUSH, The Finest, Vin Diesel Kaizer..........:car:
ulikuwa bado kulijua hilo?It seems you are among great thinker FP.
ulikuwa bado kulijua hilo?
umeona eeeh!hahahaha yale yale ya mimi na zaburi lol.....
ha haaaa, atakuta nimeshaenda kulala, lol!
hivi mfungo unaanza lini? nataka nianze kutembelea nyumba za kwenda kufuturu, kujiweka karibu, lol!
Asante kwa taarifa......mwezi wa saba mwanzoni... yaweza kuwa tarehe 10 july inshaallah
Asante kwa taarifa......
kuanzia weekend hii kila siku ni nyumba moja baada ya nyingine.... kwa Waisilamu tu
kuna sehemu ambayo ntashindwa kufwata futari kweli! I doubt.......kisarawe utafika?
ha haaa, usimchokoze mwalimu....
hivi mchango wa nauli uliishia wapi?
na hivi umemwita hapa akiona na picha za watu8 si itakuwa majanga?
Mwezi ukiandama tu ntakustua. Umeshanunua mavazi ya futuru, manake na visarawili vyako hivyo utaondoa swaumu zetu?hivi mfungo unaanza lini? nataka nianze kutembelea nyumba za kwenda kufuturu, kujiweka karibu, lol!
ha haaa, nikingalia angalia kumbukumbu zangu sijawahi kabisa kuwinda...Mimi tena mzee mwenzangu?
Hapa sijaisoma picha kabisa....
Una maana kuna mtu anawindwa?
Naamini babu hayumo kwenye hiyo sampling frame!
Babu DC!!