Funguka

Funguka

nilikuwa namtegea Judgement

Hapa cha msingi YNNAH si cha wewe kumtega Judgement!
Uliemtega tayari keshafyatua mtego!
Iwe kanasa, hajanasa or whatever! doesn't matter! Issue ni swali alilokuuliza charminglady mbona walikwepa?
Ukikaanga bisi , kula na uliowakaangia! Kuwaachia watafune mkaangaji umekaa pembeni havinogi ujue?
 
Last edited by a moderator:

afu shem mbona hujamtaja mkeo beibe nasty???
nikijaribu kuunganisha dots nakutana na maswali mengi pasi na majibu... ulivyokuwa waumwa aliyeleta taarifa za ugonjwa ni YNNAH, leo mara unamtaja tena... vp ndo bi mkubwa au mdogo?????
 
Shem umeniuliza swali zuri sana.
Pamoja na kwamba umechelewa kuuliza, kuanzia pale ulipokua unaanza kuunganisha dot ya kwanza na ya pili .
Maskini ukasubiri mpaka nadhani umeunganisha dots 10 na ushee! You just steps aside your doubt concernin !
Be calmy my dear Shem nitakudiskraib soon.
Aidha kuhusu ulivyogusia ktk accident nilioipata taarifa hazikuletwa na BN hiyo ilikua ndani ya matashi yake haikua wise nimpangie.
Pia ukirejesha kumbukumbu nyuma mbona hata Erickb52 ameshawahi kutoa sredi ya kutambulisha jukwaa kuumwa kwangu, kabla ya YNNAH kutambulisha ajali. Ni vitu vya kawaida tu shem.
 
nilikuwa nataka nifahamu kwamba, huyu Judgement ni yupi anaempenda na kujivunia kuwa nae kati yangu na BN.
 
Last edited by a moderator:
afu shem mbona hujamtaja mkeo beibe nasty???
nikijaribu kuunganisha dots nakutana na maswali mengi pasi na majibu... ulivyokuwa waumwa aliyeleta taarifa za ugonjwa ni YNNAH, leo mara unamtaja tena... vp ndo bi mkubwa au mdogo?????

mh!! Watu mnajitihada, siwawezi. Ni hivi charminglady, kwa Judgement, anaempenda na kujivunia kuwa nae ni YNNAH.....awe na mke asiwe na mke.
 
Last edited by a moderator:
Shem umeniuliza swali zuri sana.
Pamoja na kwamba umechelewa kuuliza, kuanzia pale ulipokua unaanza kuunganisha dot ya kwanza na ya pili .
Maskini ukasubiri mpaka nadhani umeunganisha dots 10 na ushee! You just steps aside your doubt concernin !
Be calmy my dear Shem nitakudiskraib soon.
Aidha kuhusu ulivyogusia ktk accident nilioipata taarifa hazikuletwa na BN hiyo ilikua ndani ya matashi yake haikua wise nimpangie.
Pia ukirejesha kumbukumbu nyuma mbona hata Erickb52 ameshawahi kutoa sredi ya kutambulisha jukwaa kuumwa kwangu, kabla ya YNNAH kutambulisha ajali. Ni vitu vya kawaida tu shem.

Judgement wala huna haja ya kutokwa povu, wewe umefunguka full stop.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom