Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
@figga una roho ngumu ka' Mwigulu Mchemba! Unampenda mke wa mjeshi afande? Shaul'lako .
shem,
hebu mkumbatie mdogo wangu,
Alaaaa.....!!!
Lala ukue.
@figga una roho ngumu ka' Mwigulu Mchemba! Unampenda mke wa mjeshi afande? Shaul'lako .
shem,
hebu mkumbatie mdogo wangu,
Alaaaa.....!!!
Lala ukue.
Nishampea moko la kitu kizima ! 45 hrs holding on board!
Mi nasubirigi basi kustuliwa katika habari za kutupia kambani ? Najituma utafikiri nawakilisha kijiji ! Muulize ye mwenyewe kama still anahitaji supplimentary ya ziada !
hahahahahahaaaaa.....Wonders shall never end.
Absolutely !
I Preciate.
Jamani mpenzi.
Me niko Club nakesha muda huu.
Naenda kulala saa moja.
Angalia usijeni7bisha nikubadili jina nikuite POPO kwani wao hulala during da day na usiku ndio mchana kwao.