Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,276
Hahaahahaaaa wewe umefunguka acha kunisingizia
Yan na wewe ulivyowekwa kwenye chupa unakubali tu lol itakula kwako mazima ujijuUnauma na kupuliza?? Haya
Hivi Kongosho na Sasa wewe R' nani kakufundisha unoko? Mimi na ODM dam dam hayo mambo hatuwezi kabisa, mie penda sana hommie wake siwezi banjuka na shem bana! Ondoeni wasi wasi!
R' nilivyo ona love inatetereka nimerudi haraka sana. Me miss you too.
Jamani wewe khaaa! Kwa uchonganishi na majungu umeshindikana.
Hivi Kongosho na Sasa wewe R' nani kakufundisha unoko? Mimi na ODM dam dam hayo mambo hatuwezi kabisa, mie penda sana hommie wake siwezi banjuka na shem bana! Ondoeni wasi wasi!
R' nilivyo ona love inatetereka nimerudi haraka sana. Me miss you too.
Mmmmh! Makubwa haya kunani Kongosho?
Baba watoto naomba usimkize Kongosho... Sijui nan kamharibu, ananusa visivyo na harufu. Lol