Mwaaaaa! Nakupenda pia Mr Rocky , charminglady asikutishe bana! Nisikilize mimi eeh!Yaani ndo tunaanza kulima sasa hivi nimeenda kukodisha jembe ndo twaanza shughuli za kilimo
Nakupenda sana achana na charminglady eti anasema sisi ni zombie
Mwe ! Mwe ! Mwe!
Wewe yangekuwa yanakuhusu ungejimilikisha Filipo na Nicas Mtei?Hivi yale matangazo ya 'TUKO WANGAPI,TAFAKARI' Madame B kumbe wewe hayakuhusu?
Itabidi hawa jamaa tuwaambie waache kupoteza fedha zao za matangazo maana ni kazi bure.....
Mwaaaaa! Nakupenda pia Mr Rocky , charminglady asikutishe bana! Nisikilize mimi eeh!
Hahahahaha! Ahsante Ciello lol! Uko juu kama Obama daaah! Mtafutie kwanza lovely sis charminglady then mie baadae!Habari ndo hiyo ka vp nikutafutie nawe lizombi limoja utest
Unawafaudu ?
Wanakufaudu?
Mnafaudiliana?
charminglady unaweza shangaa nitonye ni mwanaume suruali tuu mwanaume anamuacha mke wake mwaka hajaonekana nae anahesabiwaZombiiiiii!!!!!
kaainisha mwenyewe kuwa mumewe ni nani, sasa mliobaki tuwaiteje kama sio zombiiiii...
Haya ngoja nkupe jina zuri... MBEBA MAUA...
Achana na huyu sis charminglady bana! Hapo hakuna zombie hata mmoja manake kila mtu nimemgaia kipande chake cha moyo afu Mr Rocky nimekugaia kikubwa kuliko wote! Filipo kake kadunchuuu na tena akizubaa nakichukua afu nakiongeza kwa Mungi.
yaani umfundishe vitabia vyako vya kutafuta viserengeti eeh!
Ninamiliki
jiko la mchina lenye stand, na visufuria 2 vidogodogo. + mwiko 1 na
saver spoon 1, cna haja ya kuongeza vyombo vingine. Hayo ndo maisha ya
kiselaa!
Hahahaha sis taratibu bana utaniangushia vidumu vyangu lol.
Hahahahaha! Ahsante Ciello lol! Uko juu kama Obama daaah! Mtafutie kwanza lovely sis charminglady then mie baadae!