Fundi nilimpa elf 10 ya mafuta, kaenda kununua ya kuchakachua kubana hela, gari haiwaki inabidi nisafishe tenki zima, Mafundi njaa zitawaua !

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,645
Vijana wetu kuna muda mnajishusha tunawapa chance kuwaamini lakini mambo wanayofanya yanatukatisha tamaa ya kuendelea kuwaamini.

Gari ilikuwa na matatizo, nikaenda mtaani kutafuta fundi aje kuliangalia.

Gari iligoma kuwaka kwajili ya matengenezo tukaona mafuta hayatoshi kuliwasha.

Nikampa fundi elfu 10 aende kununua mafuta akate humo humo hela ya usafiri.

Kituo cha mafuta ukienda na bajaji unarudi ndani ya dakika 15, na nauli ya bajaji kwenda na kurudi ni kama buku jero,

Fundi kakaa huko zaidi ya karibia lisaa zima karudi na mafuta kwenye kigaloni cheupe, sikuweza kuona mafuta.

kaweka mafuta kwenye gari, muda wa kuwasha gari inapiga tu starter, ukiachia funguo inazima.

Fundi ametafuta tatizo kashindwa, akaondoka.

Nimeleta fundi mwengine kuangalia tatizo akatoa ule mpira wa kupeleka mafuta kwenye engine.

Mafuta ni meupe kama yamechanganyika na mapovu na maji.

Tamaa hizi ! nimeambiwa inabidi niende kusafisha tenki zima, dah !!

Napoteza muda na pesa kwenda garage kwajili ya tamaa za mtu aliebana elfu 10 kutafuta mafuta ya mchongo.
 
Hawa mafundi wa Tanzania Hawawezi kufanya kazi kwa uhuru mpaka wasimamiwe Bila Hivyo wanaiba
 
Wewe na fundi wako wote njaa kali. Achana na magari kwanza, komaa na San Lg kwa sasa.
 
Hahaa...kama una roho nyepesi usianzishe mada JF.
 
Vijana wetu kuna muda mnajishusha tunawapa chance kuwaamini lakini mambo wanayofanya yanatukatisha tamaa ya kuendelea kuwaamini.

Gari ilikuwa na matatizo, nikaenda mtaani kutafuta fundi aje kuliangalia.

Gari iligoma kuwaka kwajili ya matengenezo tukaona mafuta hayatoshi kuliwasha.

Nikampa fundi elfu 10 aende kununua mafuta akate humo humo hela ya usafiri.

Kituo cha mafuta ukienda na bajaji unarudi ndani ya dakika 15, na nauli ya bajaji kwenda na kurudi ni kama buku jero,

Fundi kakaa huko zaidi ya karibia lisaa zima karudi na mafuta kwenye kigaloni cheupe, sikuweza kuona mafuta.

kaweka mafuta kwenye gari, muda wa kuwasha gari inapiga tu starter, ukiachia funguo inazima.

Fundi ametafuta tatizo kashindwa, akaondoka.

Nimeleta fundi mwengine kuangalia tatizo akatoa ule mpira wa kupeleka mafuta kwenye engine.

Mafuta ni meupe kama yamechanganyika na mapovu na maji.

Tamaa hizi ! nimeambiwa inabidi niende kusafisha tenki zima, dah !!

Napoteza muda na pesa kwenda garage kwajili ya tamaa za mtu aliebana elfu 10 kutafuta mafuta ya mchongo.
Hapo wewe ndiye mwenye shida sema kulingana na asili ya ubongo wetu ulivyo huwezi liona kosa lako Ila utaliona la fundi.
Yaani by nature akili yetu haitaki kukiri ama kuona kosa lake kuwa kichwa kimewaza vibaya. Ila we're the best of the best kuona kosa la mwingine, hii ni nature na huwezi kuliona bado utanishambulia mie kuwa ninaiona vibaya yaani utalazimisha kuwa umeona sahihi na sawa
 
Vijana wetu kuna muda mnajishusha tunawapa chance kuwaamini lakini mambo wanayofanya yanatukatisha tamaa ya kuendelea kuwaamini.

Gari ilikuwa na matatizo, nikaenda mtaani kutafuta fundi aje kuliangalia.

Gari iligoma kuwaka kwajili ya matengenezo tukaona mafuta hayatoshi kuliwasha.

Nikampa fundi elfu 10 aende kununua mafuta akate humo humo hela ya usafiri.

Kituo cha mafuta ukienda na bajaji unarudi ndani ya dakika 15, na nauli ya bajaji kwenda na kurudi ni kama buku jero,

Fundi kakaa huko zaidi ya karibia lisaa zima karudi na mafuta kwenye kigaloni cheupe, sikuweza kuona mafuta.

kaweka mafuta kwenye gari, muda wa kuwasha gari inapiga tu starter, ukiachia funguo inazima.

Fundi ametafuta tatizo kashindwa, akaondoka.

Nimeleta fundi mwengine kuangalia tatizo akatoa ule mpira wa kupeleka mafuta kwenye engine.

Mafuta ni meupe kama yamechanganyika na mapovu na maji.

Tamaa hizi ! nimeambiwa inabidi niende kusafisha tenki zima, dah !!

Napoteza muda na pesa kwenda garage kwajili ya tamaa za mtu aliebana elfu 10 kutafuta mafuta ya mchongo.
Kwa maoni yangu mtoa mada ndo una akili..fundi hana makosa.unapelekaje gari gereji halina mafuta....km bdo unanjaa husilazimishe kununua gari nunua tvc125 unamaliza mizunguko yako yote ya mjini
 
Back
Top Bottom