Fun fact: Watanzania wengi hawajui 'Dam' ni kitu gani

Fun fact: Watanzania wengi hawajui 'Dam' ni kitu gani

Bwawa na Dam ni Jambo ni maneno yanayorejelea jambo/kitu kilekile.

Dam ni maji yaliyokusanywa au kukusanyika baada ya kuzuiwa iwe na ukuta au namna yoyote.
Bwawa nalo maana yake ni ileile.

Hivyo hawajakosea.
Lengo la huo ukuta ni kuyafanya hayo maji yakusanyike. Na mkusanyiko huo wa maji uliosababishwa na kuzuiwa maji ndio huitwa Bwawa(Dam).

Ziwa ni ishu nyingine tofauti
Mkusanyiko wa maji mengi unaochukua eneo kubwa ambao mara nyingi utokeaji wake unatokea kiasili.
Dam(Lambo) siyo sehemu ya maji. Dam ni ukuta wa kuzuia maji, mara myingi ya mto. Hayo maji yaliyozuiwa yanakusanyika kutengeneza bwawa(pond, pool), ziwa(lake), reservoir nk
 
Dam(Lambo) siyo sehemu ya maji. Dam ni ukuta wa kuzuia maji, mara myingi ya mto. Hayo maji yaliyozuiwa yanakusanyika kutengeneza bwawa(pond, pool), ziwa(lake), reservoir nk

Kwa hiyo yale maji yanayozuiwa na huo ukuta unaouita Dam kwa kingereza yanaitwaje? Kisha na Kiswahili yanaitwaje?
 
Back
Top Bottom