Mkuu hivi ni kweli mabinti hao walilala na baba yao au kuna namna ambavyo hatuelewi andiko linamaana gani?Matendo ya mwanadamu si ya Mungu
Unaelewa nimemuuliza nini niliyemuuliza mkuu?
Hapana, Syria ni DameskiNi Syria ya leo.
Kaskazini mwa nchi ya jordan, miaka chache ilopita waligundua sehemu yenye majivu mengi ktk bonde la mto yordan karibu na bahari mfuHapana, Syria ni Dameski
Hapo na swali kama Mungu alichoma mji kwa moto ikimanisha kila kitu kili teketea na hii picha ni kama watu wapo kwenye kaburi. SijaelewaView attachment 522601utabiri unatimia?
View attachment 522602mabaki haya yalikutwa kwenye mji wa Sodoma na Gomorrah... Ni wanaume wawili waliokuwa wanashughulikiana
hta ungekua ww ungeacha kustuka???,....Mzee hakushtuka mabinti vitumbo vimejaa na hakuna mwanaume?
Hawa jamaa walirogwa walitaka kumsodoma adi malaika ??? ......ila biblia kwann sijui ni mvivu kusoma ila napenda historia zakematendo pia yalisaidia, malaika alipomtembelea lutu, watu wavyojua wakawasonga wakadai wapewe huyo mgeni il wamfanyie usodoma yule malaika ndipo lutu akawaambia ni kheri muwachkue binti zangu ila tu msimzulu huyu mgeni. hapo utaona matendo yalisaidia Mungu aliamua kumuokoa mtumishi wake lutu.