Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Mkuu mshana jr,

Lutu na familia yake hawakutakiwa kugeuka nyuma, mkewe lutu aligeuka,

Swali vipi kama lutu angerudi kinyume nyume bila kugeuza shimgo (reverse) ili athibitishe kuwa kweli mkewe kageuka jiwe la chumvi,

Kwa mawazo yako unadhani lutu naye angegeuka kuwa jiwe la chumvi kama ilivyokuwa kwa mkewe?
 
Yeah angegeuka jiwe la chumvi kwakuwa angekuwa ameenda kinyume na maagizo ya Mwenyezi Mungu
Mkuu mshana jr,

Lutu na familia yake hawakutakiwa kugeuka nyuma, mkewe lutu aligeuka,

Swali vipi kama lutu angerudi kinyume nyume bila kugeuza shimgo (reverse) ili athibitishe kuwa kweli mkewe kageuka jiwe la chumvi,

Kwa mawazo yako unadhani lutu naye angegeuka kuwa jiwe la chumvi kama ilivyokuwa kwa mkewe?
 
Unadhani walikuwa sahihi?
Mshana??
Jibu ni moja tu hawakuwa sahihi hata kidogo,wala hapa tusitafute justification kujaribu kupamba kwa namna yoyote ile.... Lutu alichagua Mji wa Soari akapata kibali aende huko,kufika huko kaogopa kaenda kukaa pangoni yeye na binti zake tu hivi jiulize tu nini kingeendelea huko? Kama siyo Lutu kuwabaka wanae basi ndo kama hilo lililotokea wanae wakambaka kisingizio wanatafuta uzao hiyo si sababu kabisa,Hata kama Lutu ndo angefanya hayo hata naye asingekosa sababu ya kufanya hayo,tukumbuke hawa mabinti walikuwa wameposwa walikuwa ni bikra kwahiyo walikuwa kwenye kipindi cha uhitaji,Lutu ameshawahi kukaa na mke anajua vizuri utamu wa sex,nina uhakika lazima chochote kingetokea hapo.
 
Kabisa mkuu....

Mtu mweupe ndiye binadamu aliyefanya ukatili dhidi ya binadamu nadhani kuliko mtu mwingine yoyote hapa duniani....

Aborigines waliuawa kinyama kabisa kule Australia....
Hao aborigines walikuwa weusi Kama mpoki au
 
Jibu ni moja tu hawakuwa sahihi hata kidogo,wala hapa tusitafute justification kujaribu kupamba kwa namna yoyote ile.... Lutu alichagua Mji wa Soari akapata kibali aende huko,kufika huko kaogopa kaenda kukaa pangoni yeye na binti zake tu hivi jiulize tu nini kingeendelea huko? Kama siyo Lutu kuwabaka wanae basi ndo kama hilo lililotokea wanae wakambaka kisingizio wanatafuta uzao hiyo si sababu kabisa,Hata kama Lutu ndo angefanya hayo hata naye asingekosa sababu ya kufanya hayo,tukumbuke hawa mabinti walikuwa wameposwa walikuwa ni bikra kwahiyo walikuwa kwenye kipindi cha uhitaji,Lutu ameshawahi kukaa na mke anajua vizuri utamu wa sex,nina uhakika lazima chochote kingetokea hapo.
Umejibu kimwili sana while wengine tupo spiritually
 
Kweli kiongozi kwani huwa najiuliza sana iweje Mungu aruhusu Lurtu kujamiiana na wanae??
Ndugu yangu Mungu hakuruhusu hilo hata kidogo,soma post zangu za nyuma utajifunza mengi Lutu tokea mwanzo alishaharibu system nzima ya maisha yake,lakini pamoja na kuharibu Mungu anampa rehema kupitia Ibrahimu anaokolewa kutoka katika uovu,anapewa maagizo ayashike,wanasafiri usiku kucha hata wanafika katika mji ambao yeye mwenyewe kamuomba Mungu aende huko,chaguo la Mungu ilikuwa aende milimani huko yeye akaogopa, hakujua Mungu amekusudia nini huko hata akampa chaguo la kwenda huko,anakataa mpango wa Mungu,hakumuamini Mungu ambaye amekuja kumuokoa atamuokoa na huko anakomwambia aende. Haya basi akajichagulia mji wake aupendao Mungu anakubalia tu aende maana yake amepata kibali mkono wa Bwana utakuwa naye, atafanikiwa nakusitawi tu tena, lakini bado kufika huko hataki Kukaa huko anaenda mapangoni,jamani Mungu siyo dikteta ametupa akili tuzitumie vyema,sasa anaomba kitu yeye mwenyewe bado ana mashaka nacho hamuamini tena Mungu anaogopa,hamuamini Mungu kama yupo pamoja naye,Mungu anachukia sana watu wa nia mbili anakasirishwa na mtu asiyemuamini(Yakobo 1:6-8). MUNGU ANATUWAZIA MEMA KUTUPA TUMAINI KATIKA SIKU ZA MWISHO(Yeremia 29:11),Lutu haamini Mungu anamuwazia mema,sadly!! Inahuzunisha sana kutotambua kusudi la Mungu na haki tulizonazo kwake, Apandacho mtu ndicho avunacho kachagua kwenda huko pangoni kakataa kusudi la Mungu basi ameyapata ya Pangoni. Tujifunze sana kwa Lutu ndo makosa ambayo mimi na wewe tunayafanya sana hapa duniani, Mungu aturehemu atusaidie tulijue kusudi lake.
 
Sodoma na Gomorrah ni miji iliyokuja kuangamizwa kwa sababu wakazi wake walifanya kufuru ya starehe mpaka kumsahau Mungu kabisa....na kibaya zaidi ni ile dhambi ya kutenda kinyume na maumbile
Ndani ya miji ile akawepo mchamungu mmoja naye alikuwa Lutu...mweledi mnyenyekevu na msikivu sana.. Baba wa mke mmoja na mabinti wawili
Mungu alikasirika na kuamua kuiteketeza ile miji miwili.,lakini akaamua kumuokoa mtumishi wake Lutu na familia yake ila kwa sharti moja! Kwamba Lutu aondoke na familia yake kabla miji ile haijateketezwa lakini 'ATAKAYEGEUKA NYUMA' atageuka jiwe la chumvi
Kwanini kugeuka nyuma? Fumbo la Sodoma hilo! Mke wa Lutu aligeuka nyuma na akageuzwa kuwa jiwe la chumvi!je naye alikuwa mteja!?
015c9b0195c02f66d20983cabb62d40e.jpg

Lutu na mabinti zake hawakugeuka nyuma na wakaenda kuishi mlimani mpaka Lutu alipokuwa mzee kabisa!
Mabinti zake wakajiongeza wakaona baba anazeeka mama hayupo na sisi ni mabinti! Tusipofanya namna kizazi kitapotea
Makatengeneza mvinyo mkali wakampa mzee akanywa akalewa.....wakampa unyumba baba yao....wakashika ujauzito na kizazi kikaendelea(hakuna ubaya hapa!)
Kinachonitatiza kwanini Mungu alisema atakayegeuka nyuma atageuka kuwa jiwe la chumvi?
Leo ni jumatatu twendeni kazini..mambo mengine hayana majibu
Wewe mwaongo taja aya inayoonyesha mungu alisema atakae geuka nyuma atageuka jiwe la chumvi weka hapa tupitie
Jambo jingine ni hili kiwaza mambo matakatifu kwa akili ya kibinadamu huwezi kuelewa ikiwa huwelewi mambo ya utatu mtakatifu utaelewa hilo? Ushawahi jiuliza kwann mungu hakutamka NAMUUMBA MTU KWA SURA NA MFANO WANGU BADALA YAKE AKASEMA TUMUUMBE MTU KWA SURA NA MIFANO YETU? akaja akarudia tena kwa kutamka HUYU BINADAMU AMEKUWA KAMA MMOJA WETU ANAJUA MEMA NA MABAYA!!! ushawahi jiulz wapo miungu wangapi?
Hivi ushajiulizaga nini maana ya 1+1=1? Mke plus mume jibu ni mtu mmoja!
Ikiwa huwezi elewa kuwa kwenye ncha ya sindano wanaweza kukaa zaidi ya malaika elfu kumi utaweza fikilia juu ya mke wa lutu?!
Naamin hta nikuuliz adhabu aliyopta yakobo kwa kuibia baraka ya esau tu hujui usitudanganye hapa
 
Umejibu kimwili sana while wengine tupo spiritually
Hahahhaha!! ndugu yangu umenifanya nicheke sana,ungekuwa wa rohoni ungeyatambua haya ya rohoni,mambo ya Rohoni hutambuliwa na watu wa rohoni,mtu wa rohoni hawezi kuyajua mambo mazito yaliyojificha katika safari nzima ya Lutu,simlaumu Lutu hata kidogo ni mengi sana ametufundisha siku ya Leo,embu pitia tu post zangu zisome kwa kina step by step utaelewa mengi tu na nina uhakika Roho Mtakatifu atakufunulia na mengine mengi ambayo mimi sijayasema,atasema nawe katika lugha nzuri kulingana na ufahamu wako utamuelewa vizuri tu.
 
Amina ubarikiwe sana
 
Mi nadhani mke wa lutu hakuwa mwaminifu kwenye ndoa yake napale kueuka nyuma alikuwa akimuonea huruma mchepuko wake.
 
Back
Top Bottom