Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Mungu siku zote ni mkuu na hajaribiwi. Inawezekana mke wa luthu alitaka kuhakikisha ni kweli nikigeuka ni nini kitatokea au vilio vilivyotawala vya majonzi na simanzi watu waliokuwa wanaangamia vilimtia huruma. Au kiherehere chake tu.

Mawazo yangu
 
Huo ni mchoro na siyo tukio halisi....

Lakini hata tukiamua kuchukulia ni sahihi huo mchoro,huo mchoro umechorwa wakati wakiwa wameshamuacha nyuma na yeye amebadilika na kuwa jiwe la chumvi...

Tatizo ni lipi hapo?
Tatizo lipo na lina kizungumkuti kwanini hakuna picha hata moja ya Lutu akiwa kamshika mkewe mkono? Je yalikuww ni maono?
 
Sodoma na Gomorrah ni miji iliyokuja kuangamizwa kwa sababu wakazi wake walifanya kufuru ya starehe mpaka kumsahau Mungu kabisa....na kibaya zaidi ni ile dhambi ya kutenda kinyume na maumbile
Ndani ya miji ile akawepo mchamungu mmoja naye alikuwa Lutu...mweledi mnyenyekevu na msikivu sana.. Baba wa mke mmoja na mabinti wawili
Mungu alikasirika na kuamua kuiteketeza ile miji miwili.,lakini akaamua kumuokoa mtumishi wake Lutu na familia yake ila kwa sharti moja! Kwamba Lutu aondoke na familia yake kabla miji ile haijateketezwa lakini 'ATAKAYEGEUKA NYUMA' atageuka jiwe la chumvi
Kwanini kugeuka nyuma? Fumbo la Sodoma hilo! Mke wa Lutu aligeuka nyuma na akageuzwa kuwa jiwe la chumvi!je naye alikuwa mteja!?
015c9b0195c02f66d20983cabb62d40e.jpg

Lutu na mabinti zake hawakugeuka nyuma na wakaenda kuishi mlimani mpaka Lutu alipokuwa mzee kabisa!
Mabinti zake wakajiongeza wakaona baba anazeeka mama hayupo na sisi ni mabinti! Tusipofanya namna kizazi kitapotea
Makatengeneza mvinyo mkali wakampa mzee akanywa akalewa.....wakampa unyumba baba yao....wakashika ujauzito na kizazi kikaendelea(hakuna ubaya hapa!)
Kinachonitatiza kwanini Mungu alisema atakayegeuka nyuma atageuka kuwa jiwe la chumvi?
Leo ni jumatatu twendeni kazini..mambo mengine hayana majibu

Bratha Mshana kwema mkuu?anyway nasubiria kujua kwanini onyo kali likatoka kwa atakayegeuka nyuma
 
Kizazi cha hao mabinti wa lutu waliozaa na baba yao kilikuja kupigwa na kuangamia walipokutwa na wana Israel walipokuwa wakienda kanani. Walikuja kuwa mataifa ya kuabudu miungu jambo ambalo ni sawa na uzinzi ( asili ya kuzaliwa kwao)
Lazima kuna mbegu ilibaki na imeendelea kuzaliana kwa kasi ndio maana siku hizi haya mambo si taharuki tena
 
Tatizo lipo na lina kizungumkuti kwanini hakuna picha hata moja ya Lutu akiwa kamshika mkewe mkono? Je yalikuww ni maono?
Unajihangaisha bure kwa mambo ambayo binafsi sijaona kama yana maana mkuu....

Unapaswa kujua mambo kadhaa pale ambapo mtu anapokuwa anaelezea jambo.Kwanza kabisa kuna tukio kuu lililobeba simulizi nzima na hata kama kutakuja kuchorwa picha iliyotokana na tukio hilo moja kwa moja mchoraji atachora kwenye tukio kuu na siyo eneo lingine....

Hapa nitaeleza mambo mawili...

1;Kwanza kama nilivyokueleza hapo juu,tukio kuu wakati familia hiyo inatoka kwenye jiji hilo ni tukio la mke wa Luthu kubadilishwa na kuwa jiwela chumvi na tukio hili ndilo lililovutia wachoraji na hata kama ungechora wewe ungechora eneo hili.Hivi mtu anachora hao wanafamilia wameshikana mikono halafu aseme anaelezea tukio la Sodoma na Gomora,kutakuwa na mvuto kweli? Sidhani.....

Ninachotaka uelewe ni hicho tu kuwa kilichowavutia wachoraji ni hilo tukio kuu wakati familia hiyo inaondoka kwa kukimbia kutoka kwenye jiji hilo la Sodoma na Gomora..

2;Unapaswa uelewe pia kwamba,unavyoona michoro hiyo ni namna wachoraji walivyolitafakari tukio hilo kutokana na masimulizi yaliyoko kwenye Biblia.Naweza akaja mwingine leo akasoma na akachora kama unavyofikiria wewe na bado kukawa hakuna shida yoyote.Wachoraji siyo wanaoamua maandiko yafasiriwe namna gani bali wao wanachora kile wanachokifikiria tu...

Sijui ni kwanini umefikiria kuwa hao wachoraji wanakuwa na uzito mkubwa sana kwenye hili wakati ni michoro inayotokana na fikra tu na wanaweza kuwa wamekosea vile vile na kosa kubwa ninaloliona hapo kwenye hiyo michoro ni kuchora familia hiyo ikionekana ni ya watu weupe wakati walikuwa ni weusi kabisa kama sisi huku....
 
Hapana kila kitu kina maana yake, huwa tunachukulia vingine havina maana kwakuwa tu ama hatutaki kuhoji au tumeridhika na maelezo yake. Kuna mengi sana ya kuhoji tukiamua kushughulisha bongo zetu lakini kwa baadhi wanaweza kuona ni ujinga na kupoteza muda
Kwa uzoefu wangu vitu vingi visivyopewa umuhimu wowote hojaji zake zimefumbua siri na maarifa ya ufunuo wa kushangaza mno
 
Hapana kila kitu kina maana yake, huwa tunachukulia vingine havina maana kwakuwa tu ama hatutaki kuhoji au tumeridhika na maelezo yake
Kuna mengi sana ya kuhoji tukiamua kushughulisha bongo zetu lakini kwa baadhi wanaweza kuona ni ujinga na kupoteza muda
Kwa uzoefu wangu vitu vingi visivyopewa umuhimu wowote hojaji zake zimefumbua siri na maarifa ya ufunuo wa kushangaza mno
Uko sahihi lakini siyo kwenye hili maana hakuna kilichofichwa hapo....

Kuna maelezo mengi yaliyofichwa kwenye vitabu mbali mbali na ikiwemo kwenye baadhi ya maelezo kwenye biblia lakini hili halijafichwa na sijaona kilichofichwa hapo ni kipi,labda uniambie mkuu.....
 
Sodoma na Gomorrah ni miji iliyokuja kuangamizwa kwa sababu wakazi wake walifanya kufuru ya starehe mpaka kumsahau Mungu kabisa....na kibaya zaidi ni ile dhambi ya kutenda kinyume na maumbile
Ndani ya miji ile akawepo mchamungu mmoja naye alikuwa Lutu...mweledi mnyenyekevu na msikivu sana.. Baba wa mke mmoja na mabinti wawili
Mungu alikasirika na kuamua kuiteketeza ile miji miwili.,lakini akaamua kumuokoa mtumishi wake Lutu na familia yake ila kwa sharti moja! Kwamba Lutu aondoke na familia yake kabla miji ile haijateketezwa lakini 'ATAKAYEGEUKA NYUMA' atageuka jiwe la chumvi
Kwanini kugeuka nyuma? Fumbo la Sodoma hilo! Mke wa Lutu aligeuka nyuma na akageuzwa kuwa jiwe la chumvi!je naye alikuwa mteja!?
015c9b0195c02f66d20983cabb62d40e.jpg

Lutu na mabinti zake hawakugeuka nyuma na wakaenda kuishi mlimani mpaka Lutu alipokuwa mzee kabisa!
Mabinti zake wakajiongeza wakaona baba anazeeka mama hayupo na sisi ni mabinti! Tusipofanya namna kizazi kitapotea
Makatengeneza mvinyo mkali wakampa mzee akanywa akalewa.....wakampa unyumba baba yao....wakashika ujauzito na kizazi kikaendelea(hakuna ubaya hapa!)
Kinachonitatiza kwanini Mungu alisema atakayegeuka nyuma atageuka kuwa jiwe la chumvi?
Leo ni jumatatu twendeni kazini..mambo mengine hayana majibu
Mkuu Lutu aliombewa kwa Mungu na nduguye Ibrahim,hakuokolewa kwaajiri ya matendo yake! ndio maana hata kutoka kule alitolewa na malaika kwa mbinde.
 
Uko sahihi lakini siyo kwenye hili maana hakuna kilichofichwa hapo....

Kuna maelezo mengi yaliyofichwa kwenye vitabu mbali mbali na ikiwemo kwenye baadhi ya maelezo kwenye biblia lakini hili halijafichwa na sijaona kilichofichwa hapo ni kipi,labda uniambie mkuu.....
Mke wa Lutu alikuwa mchafu na alishiriki dhambi iliyoingamiza Miji ya Sodoma na Gomorrah...na inawezekana kabisa Lutu alishafunuliwa hilo
 
matendo pia yalisaidia, malaika alipomtembelea lutu, watu wavyojua wakawasonga wakadai wapewe huyo mgeni il wamfanyie usodoma yule malaika ndipo lutu akawaambia ni kheri muwachkue binti zangu ila tu msimzulu huyu mgeni. hapo utaona matendo yalisaidia Mungu aliamua kumuokoa mtumishi wake lutu.
Mmh inahitaji kuwa na roho ngumu hasa
 
Back
Top Bottom