CaptainDunga
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 1,589
- 1,398
Ni Syria ya Leo nenda kakutane na ISISyap nikipata nauli nitakuchukua twende tukajionee kwa macho
Ni Syria ya Leo nenda kakutane na ISISyap nikipata nauli nitakuchukua twende tukajionee kwa macho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 522601utabiri unatimia?
View attachment 522602mabaki haya yalikutwa kwenye mji wa Sodoma na Gomorrah... Ni wanaume wawili waliokuwa wanashughulikiana
JordanIo miji ya sodoma n gomola inapatikana nchi gan ktk miaka hii mkuu?
Mkuu huoni kama kunautofauti kati ya kugeuka nyuma na kurudi reverse (kurudi nyuma bila kugeuka),Yeah angegeuka jiwe la chumvi kwakuwa angekuwa ameenda kinyume na maagizo ya Mwenyezi Mungu
Je angegeuka kuwa jiwe la chumvi?Ndio nimekupata
Unaelewa nimemuuliza nini niliyemuuliza mkuu?Qur'an ina kisa kizima cha nabii Lut'
Sijajua ni kwanini ukiwa na ngozi nyeusi unageuka kuwa adui wa binadamu wengine hapa duniani siku hizi na sijui hili lilianzishwa na nani....Pure black
Hasa hapo kwa mabinti kulala na baba yao ili kizazi kiongezeke.Hatari sana biblia inahijtaji uvumilivu kuijua
Haya mambo yalianza nyakati na utumwa na ile sumu bado inafanya kazi mpaka leo hii hata ndani ya forum hiiSijajua ni kwanini ukiwa na ngozi nyeusi unageuka kuwa adui wa binadamu wengine hapa duniani siku hizi na sijui hili lilianzishwa na nani....
Nyakati za kale watu hawakuwa wakitambuana kwa ngozi zao lakini leo imekuwa hivi....
Wakati Misri ya weusi ikitawala dunia maisha hayakuwa kama haya lakini hii ya leo inashangaza sana....
Hili ni kweli lakini huwa napata hisia kwamba kuna zaidi ya hili....Haya mambo yalianza nyakati na utumwa na ile sumu bado inafanya kazi mpaka leo hii hata ndani ya forum hii
kwa hy inamaana mke wa lutu aligeuka nyuma ....yn alitumia njia nyingine
Maana ya kugeuka nyuma ni kurudia mambo walio yafanya mda ule
Mungu anasema kuwa binadam hatupaswi kufata yale yaliotendwa enz zile kwani hayafai
Ila binadam ndo kwanza wamekuwa wakiyachochea
Kupitia serikali zinazotawala dunia