Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Sasa ina maana tulihama huko middle East maana wamejaa wao
Kama ni hivyo basi yesu alikuwa mweusi au
Ina.maana mpk leo unaamini yesu ni mzungu?? Pole yako. Kasome tena achana na historia ya uongo ya mzungu mapichapicha yao.
 
Kwanini unasema "tulihama"? Unamaanisha nini unapotumia neno "tulihama".Kama unamaamisha sisi sidhani kama uko sahihi kwa muktadha huo kwasababu siyo sisi tuliokuwa kule bali watu wengine weusi ndiyo walikuwa huko kama vile ambavyo Kenya au nigeria kuna watu weusi leo....

Nimekupa mfano wa nchi ambazo zina watu weupe leo lakini kiasili hawakuwepo huko,mbona hujajiuliza sababu ya watu hao weupe kuwepo kwenye hizo nchi ni ipi ili upate jawabu la swali lako mkuu?

Sababu ziko nyingi sana ambazo ainafanya eneo hilo la "mashariki ya kati" kuwa na watu weupe na zinafanana na zile ambazo zinafanya Misri au Libya kuwa na watu weupe leo....

Waingereza walipofika Marekani waliwaua sana Wahindi wekundu na kusababisha kuonekana kama hawakuwepo kabisa eneo hilo.Hii ni sababu moja tu kati ya nyingi sana zinazoweza kusababisha watu kuisha kabisa eneo fulani....
Ni kama walipoenda australia wakaua wale weusi wa kule and now austarlia ni ya wazungu
 
Du kwa hiyo kama musa alikuwa mweusi bila shaka wana Wa Israel waliokombolewa misri walikuwa weusi .swali hilo taifa la Israel la Leo mbona weupe!
Daaa!! We unahitaji darasa kweli. Embu ka google basi kidogo kabla hujaja huku. Hata youtube kuna mafundisho kibao mwana!!
 
  • Thanks
Reactions: B40
Sijui walitumia vigezo gani kuwakusanya...

Pia,sielewi ni kwanini unasema Mungu alidanganya.Halafu ni Mungu siyo mungu,zingatia hizo tofauti....
Huyu jamaa atakuchosha mwambie akagoogle na ajifunze kusoma history upya aachane nae hii ya mzungu kuwa asili yetu nyani.
 
mungu alitaka wasigeuke nyuma hakutaka waone anavyoangamiza watu wake waliokengeuka !pia ilikua ni agizo la mungu wasigeuke kutazama nyuma hata ww songa mbele usitazame y nyuma
 
Daaa!! We unahitaji darasa kweli. Embu ka google basi kidogo kabla hujaja huku. Hata youtube kuna mafundisho kibao mwana!!
Acha kurukia treni kwa mbele Mimi namuuliza jamaa sa we kama umepita huko YouTube Baki huko
 
Ni kama walipoenda australia wakaua wale weusi wa kule and now austarlia ni ya wazungu
Kabisa mkuu....

Mtu mweupe ndiye binadamu aliyefanya ukatili dhidi ya binadamu nadhani kuliko mtu mwingine yoyote hapa duniani....

Aborigines waliuawa kinyama kabisa kule Australia....
 
Nimekuuliza hivyo kwasababu mm nilliwahi kumuuliza pastor wangu lkn mpaka Leo hajanipa jibu

Bible inashangaza sana Mshana Jr
Mambo ya Mungu yana siri nzito sana
 
Nimekuuliza hivyo kwasababu mm nilliwahi kumuuliza pastor wangu lkn mpaka Leo hajanipa jibu

Bible inashangaza sana Mshana Jr
Ila pale tunaonyeshwa ule unabii kwamba hakuna mkamilifu la hata mmoja na wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu
 
Ila pale tunaonyeshwa ule unabii kwamba hakuna mkamilifu la hata mmoja na wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu
Kweli kiongozi kwani huwa najiuliza sana iweje Mungu aruhusu Lurtu kujamiiana na wanae??
 
Point of correction Mkuu,
Mungu hakuwaambia kuwa atakaegeuka nyuma atakuwa jiwe la chumvi, bali aliwaonya tu kuwa waondoke na kamwe wasigeuke nyuma
 
story zilizoko katika bible hazithibitishiki kisayansi..

imani tu.
 
Back
Top Bottom