Fumanizi la nguvu.....!

Fumanizi la nguvu.....!

babu umempeperushia mjukuu wako ndege wake....

Sasa ningefayaje BADILI TABIA?

Hivi zile mbinu zetu za zamani za lugha ya picha bado zinatumika kama zama zenu hizi??

Mie bwana nilishaaga na kutundika mikoba.. sitaki kuharibu futari yangu ya PPF,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mvua kubwa sana inanyesha hapa Jengo la Hali ya Hewa kama walivyotabir. Vipi huko kwenu jamani!

Kwani wewe uko wapi??

Sie huku kwetu ni ukame utadhani tuko kwenye jangwa la Kalahari,

Babu DC!!
 
Ndo maana kila siku zinavyokwenda mtu unazidi kuogopa kifo...

Ukifikiria kutangulia ukamuacha bibi na wajukuu unakaribia kufa kabla ya muda wenyewe!!

Hivi hakuna dawa za kurudisha umri na kila kitu nyuma (just to rewind)??

Babu DC!!

Hahahaha babu Dark City wakati wako ukifika itabidi uondoke tu lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha babu Dark City wakati wako ukifika itabidi uondoke tu lol

Sawa sweetlady,

Hivi kuna mtu yuko comfortable na kifo??

Kwani wewe ulishawahi kupiga picha yako umelala kwenye jeneza...??

Aisee inauma sana ukimwona bibi na wajukuu wanavyopiga mayowe wakati huo unahisi kwamba kuna jamaa linashangilia kwa kuwa walau kikwazo kimeishia....Hakuna kauzibe tena!

Inauma sana aisee....ingawa hatuna immunity!

Inauma kweli kupiga hiyo picha babu Dark City ! Yaani we acha tu ila mie kama ikitokea nimeishi mpaka nikapata hao wajukuu wa kunililia ntashukuru sana Mungu.....kwa sasa nikipiga hiyo picha kichaa kinanipata manake haka katukuu kako ndio kwanzaaaaa hata preimare hakajaanza lol
 
Ni suala la muda tu SL,

Utashangaa muda si mrefu kanalinganga na wewe....Na kwa wale wasiokuwa na break, mnaweza kupigana vikumbo kwenye corners za mambo mambo!!

Nasikia huwa wanakua kama wanafukuzwa na simba...!

Hahaha babu DC natamani kweli ningeweza kuusukuma muda uende chap chap.......daah raha sana
 
Hahaha babu DC natamani kweli ningeweza kuusukuma muda uende chap chap.......daah raha sana

Tuombe uzima ndugu yangu...siku zenyewe zinakambia kama nini...!!

Ni kesho tu hapa unaweza kuja kuomba michango ya kuoza.....!!

Babu DC!!
 
Tuombe uzima ndugu yangu...siku zenyewe zinakambia kama nini...!!

Ni kesho tu hapa unaweza kuja kuomba michango ya kuoza.....!!

Babu DC!!

Yeah ni kweli babu Dark City ni suala la muda tu......hehehehe nikifika huko kwenye red ntaringaje jamani mie!

Kikubwa uzima tu babu DC!
 
Last edited by a moderator:
Kweli babu DC nyie mmefika mna nini na mie nisifike nna nini lol

Hahahaha simrongi asee!

Utafika bwana SL,

Si unaona sie tunvyo-enjoy kuvifumania vijukuu vikipeana zawadi toka kwa muumba?

You will be there soon!

Babu DC!!
 
Judgement ! Marahaba mpendwa wangu, natumai hujambo. Mi huwa napatikana saana tu sema mara nyingi naishia kuwa observer!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi Mungu alivyo m'bishi anarogeka kweli?
Kama imeandikwa utafika tu....Why not you?

Labda kama unamroga Mungu!

Babu DC!!

Weeh chizifresh, babu dc hakagui. Amakuwa kigagulwa Asprin?
Babu waonaje huyo mjukuu ukamuachia mikoba ya ukaguzi?

Basi babu kwa usemi huu tabasamu lilikuwa la kwako na sio la mjukuu. Mabinti wa siku hizi hawana haya, ukitiririkiwa utakoma. Uje upewe ushuri na Erickb52
Sijafanya kitu komando wangu King'asti,

Ni mawazo tu ya enzi zetu yamenijia nikahisi kuwa may be sijawatendea haki wajukuu...

Halafu...., kuna mdau mmoja nilikutana naye wakati bado ni nina vile vipele vya usoni na navaa don't touch ma shoes, akanambia kuwa wakati mwingine smile inasababisha mafuriko...sina hakika kama ni kumbukumbu za kweli au hallucinations!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mhh! Babu mwenyewe babu ki-maukwelikweli ati! Hakuweza kustahimili hata saa 3 usiku ifike kashazimika! Nilitamani niendelee kumsikiza but kamuacha sweetlady hewani. BTW Babu ukiona vituko vya wajukuu mezea bhana! Ila nakwambia that smile was yours!!
 
Last edited by a moderator:
Lakini babu, kwani we ni mzee sana hadi usahau kuwa tabasamu huwa linaita walau uzuge kwa kupokea simu pembeni kidogo pasi kutoka nje ya mjengo?

Ndugu yangu Kipipi, enzi zetu na hizi zenu ni tofauti...Sisi tulikuwa na mambo yetu ambayo yalikuwa wanatupa mwanga kama kweli tuko kwenye njia sahihi....nyie haya ya kwenu ni ngumu sana hata kuyajua....

Tuko kwenye levels tofauti na dawa yake ni kuwa mtazamaji!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom