Fumanizi la nguvu.....!

Hivi Mungu alivyo m'bishi anarogeka kweli?

Weeh chizifresh, babu dc hakagui. Amakuwa kigagulwa Asprin?

Basi babu kwa usemi huu tabasamu lilikuwa la kwako na sio la mjukuu. Mabinti wa siku hizi hawana haya, ukitiririkiwa utakoma. Uje upewe ushuri na Erickb52

Huo sasa ni uchokozi komand wangu King'asti.

Hivi kuna binti kweli anaweza kutoa smile la nguvu kwa babu kama mie?

Nahitaji msaada wa consultant kukubaliana na ukweli huu!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mhh! Babu mwenyewe babu ki-maukwelikweli ati! Hakuweza kustahimili hata saa 3 usiku ifike kashazimika! Nilitamani niendelee kumsikiza but kamuacha sweetlady hewani. BTW Babu ukiona vituko vya wajukuu mezea bhana! Ila nakwambia that smile was yours!!

Hii lazima niitume kwa wahusika wa JF,

Huwezi kumvunjia babu heshima yake kiasi hiki halafu akae kimya....

Next time usirudi kumshuhudia babu uongo...sawa ehhhhh??

Babu DC!!
 
Ndugu yangu Kipipi, enzi zetu na hizi zenu ni tofauti...Sisi tulikuwa na mambo yetu ambayo yalikuwa wanatupa mwanga kama kweli tuko kwenye njia sahihi....nyie haya ya kwenu ni ngumu sana hata kuyajua....

Tuko kwenye levels tofauti na dawa yake ni kuwa mtazamaji!!

Babu DC!!

Ila we babu hapo ulikuwa umezimikiwa wewe tu na uliwahi kuondoka kuepuka kajukuu kasikufumanie kiaina kasijeenda kumsimulia bibi likawa bonge la soo na noma kilo kumi! And probably ka-smile kalikulegeza ukaona ujiendee tu mwayego! Lol
 
Last edited by a moderator:
Hivi Mungu alivyo m'bishi anarogeka kweli?

Weeh chizifresh, babu dc hakagui. Amakuwa kigagulwa Asprin?

Basi babu kwa usemi huu tabasamu lilikuwa la kwako na sio la mjukuu. Mabinti wa siku hizi hawana haya, ukitiririkiwa utakoma. Uje upewe ushuri na Erickb52
King'asti mbona una majungu mdada wewe?
 
Last edited by a moderator:
Ila we babu hapo ulikuwa umezimikiwa wewe tu na uliwahi kuondoka kuepuka kajukuu kasikufumanie kiaina kasijeenda kumsimulia bibi likawa bonge la soo na noma kilo kumi! And probably ka-smile kalikulegeza ukaona ujiendee tu mwayego! Lol

Tatizo lenu ni kwamba nyie mnatumia akili sana wakati wenzenu tumebakia kutumia uzoefu....

Bora yalishapita...kama nilikosea basi...

Babu DC!!
 
Kipipi mambo vipi mrembo? Babu Dark City keshazimika. Ataamka saa 4 asubuhi kesho, tuendelee sisi. Hivi bado uko singo kama mimi?

Kumbeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee................!!!

Yaani wewe Arushaone ulikuwa unatafuta gia ya kumrushia Kipipi smile ili Babu awafumanie na nyie....

Haya bwana...kila la heri!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ila we babu hapo ulikuwa umezimikiwa wewe tu na uliwahi kuondoka kuepuka kajukuu kasikufumanie kiaina kasijeenda kumsimulia bibi likawa bonge la soo na noma kilo kumi! And probably ka-smile kalikulegeza ukaona ujiendee tu mwayego! Lol
umeona mbali sana Kipipi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom