Fumanizi la nguvu.....!

Fumanizi la nguvu.....!

ungemuacha dogo asalimiane na sista du wawatu hata dk 2


Sina hakika kama dogo mwenyewe aliona hilo tukio...but, sikuwa na sababu ya kumzuia kama angeomba nimsubiri afungue file la kesi!!

Babu DC!!
 
Sina hakika kama dogo mwenyewe aliona hilo tukio...but, sikuwa na sababu ya kumzuia kama angeomba nimsubiri afungue file la kesi!!

Babu DC!!
kesho mkirudi kwa boss muachie mwanya huo
 
mpeleke eneo la tukio kesho mkienda kumuona boss akalione again


Leo kaenda peke yake...I wish I could ask him kama kakumbana na ile magic smile au la!!

Babu DC!!
 
hujaliona hapo babu alipombamba sista du akimmezea mate mjukuu wake jamani lol!


Nahisi jamaa alitegemea kuona picha kama zile za jukwaa la mwisho....lol!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom