kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,571
- 2,192
Diarra 'ATUNGULIWA'
Hii ndio Habari Sasa..
Hii ndio Habari Sasa..
Uko vizuri Mkuu. Japo Ken Gold wamechafua kidogo wao wamepata moja.Kila lenye kheri Young Africans SC ft mwenyeji 6 vs 0 mgeni
Bwege kwel an anafungwaje goli kama iloDiara kazingua
option nzur ilikua kurudish kwa chama alishafunguka tayarYanj kosa la Dube pale ni kutaka kumalizia bila utulivu angetulia angefunga kama la pacome ama angerudisha kwa Chama
Na hio sifa sio kila mchezaji anayo...
Hii ndio habari ya mjini sasa 😂Ken Gold wamepata goli la msimu.
Na point 3 juuGoli bora la msimu
Yaani. Kaanzia kwenye duara la kuanzishia mpira eti hadi golini. Lol.Hii ndio habari ya mjini sasa 😂
Wazitolee wapi?Na point 3 juu
LolBest Goal ever. jero yangu haijaenda bure
Nani kwamwaga nje?😂😂Shuka limechafuka kizembe sana...