Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,502
- 6,403
katiba mpya sio suluhu ya matatizo ya watanzania labda ya viongozie wenye uchu wa madarakaYule maza anaogopa hata kutaja neno katiba mpya, akijaribu hata kutaja moyo wake unakwenda mbio kwa woga.
Hotuba nzima imejaa marudio ya zile blah blah zake za uviko, ujenzi wa madarasa, Twiga stars nk.
Inachosha mnoo.