mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,219
- 6,650
Unavyoongea kanakwamba adui ni mtu mpwa unazingua fatilia vizuri upate sababu kwnn vifo vinaendelea na sio kwamba waliojiweka ndani ugonjwa unawafata acheni kujipa moyo sisi tushalikoroga amna budi kulinywa
Hivi rate yetu ya kuongezeka kwa visa vya corona unafananisha tz na kenya?
Utaendelea kuombea wengine wafe wewe ubaki hai ili ubashiri wako utimie. UPUUZI.
Kwa kuwa Serikali imeamua hakuna "lockdown" na kusisitiza kuzingatia ushauri wa kitaalamu kujikinga dhidi ya maambukizi, ni wajibu wangu na wewe kuhakikisha tunajikinga kuwakinga wapendwa wetu.
Kuendelea kuilamu Serikali na kuombea vifo ili vitokee kuthibitisha unachotaka kitokee ni akili ya MTU MZIMA HOVYO.
JILINDE UMLINDE JIRANI