FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

Hao wanaougua na kufichwa ni mama wako?Ni baba wako au ukoo wako mzima?

Senti bai yuzingi tecno T301

Hizi ndizo Akili nyingi za Kipumbavu ambazo zimejazana sana ndani ya wana CCM wa Kizazi chako na si kile chetu cha Nyerere.
 
Kukaa ndani case closed

Mnalilia uchumi kwani tukifa uchumi ndo utabaki kileleni?
Mpaka sasa uchumi ushateteleka
Wewe kaa ndani, PERIOD, huenda dua zako zikasikika na kufanikiwa. Ila ujue tu kwamba Tanzania kamwe haitaongozwa na "political entrepreneurs" ambao hujali maslahi binafsi kuliko ya Taifa.
 
Viongozi wa upinzani wanajidai wanawapenda watz lakini ni siasi, kuongoza nchi si mchezo hasa nchi masikini na changamoto ni kwenye magonjwa makubwa ya miripuko kama haya, ni bora corona kuliko njaa hatukaa ndani kujikinga na corona ilihali tuna njaa tutatoka tu, au tukae ndani kisha uchumi wetu uwe mbaya zaidi itakuwaje tutao baki tutabaki hakuna magonjwa yaliyo wahi kuua watu nchi nzima, we will fight until last breath...

Sent using Jamii Forums mobile app


..sasa mbona amiri jeshi mkuu katukimbia amejificha?

..tukio hili linanikumbusha Saddam Hussein aliyekimbia toka Baghdad na kwenda kujificha Tikrit.
 
..sasa mbona amiri jeshi mkuu katukimbia amejificha?

..tukio hili linanikumbusha Saddam Hussein aliyekimbia toka Baghdad na kwenda kujificha Tikrit.
Mwanaume amezaliwa kuchukua maamuzi yeye kama yeye mkuu kisha mwanamke hufata maamuzi aliyochukua mwanaume muda huu jiamini mwenyewe..

NB: usisahau kujikinga na covid19-25

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume amezaliwa kuchukua maamuzi yeye kama yeye mkuu kisha mwanamke hufata maamuzi aliyochukua mwanaume muda huu jiamini mwenyewe..

NB: usisahau kujikinga na covid19-25

Sent using Jamii Forums mobile app

..kwenye post yako ya awali ulisema tutapigana mpaka tone la mwisho.

..sasa amiri jeshi mkuu tuliyemuamini atuongoze mbona amesepa?
 
Katika vitu huwa vinafanya umtambue mtu hekma yake na uelewa wake ni pamoja na mitizamo yake. Kiukwel mh MBOWE hakutakiwa kushawishi njia ambayo kila mtu ameanza kuiacha kuitumia kwa kutokuonesha matunda yoyote mazuri

Ukiwa Kama kiongozi mkubwa unaeota siku moja kuwa kiongozi wa nchi hutakiwi kuonesha ujinga mbele ya wananchi unaowategemea wakuamini ili baadae wakupe dhamana ya kuwaongoza.

Kiongozi muda huu wa matatizo hatakiw kuonekana kua anataka kutumia matatizo ya wananch wake ili ajinufaishe kwa maslai yake. Ukiwa Kama kiongozi hutakiw kuatarisha maisha ya unae muogoza kwa njia yoyote Ile na inatakiwa utoe haki sawa kwa levo zote.

Yeye Kama kiongozi hakutakiwa kulazimisha serekal ifanye Lock down Kwan hii ni njia moja hatari Sana kwa raia maskini Kwani hata ukisema wapewe pesa hujui janga litaisha Lini na serikali itatoa pesa mpaka Lini? Na vipi baada ya Corona watanzania wataishije au mfano wewe ukiwa umesha chukua nchi utaiongoza vip bila pesa? Si ndio itakuwa hospitali madawa hakuna. Miundombinu kuwa mibovu. Njaa kibao watu kukosa mishahara Yao na matatizo mengine. Au unataka Hali iweh ivi

Wewe Kama kiongozi mkubwa umeshindwa kuelimisha watu njia nzuri na muhim Sana ambayo inaenda kutumiwa na watu wengi. Kiongozi ulitakiwa uanze kutoa elimu kwa nguvu zote ya kuelimisha watanzania kuhakikisha wanajikinga kwa kuvaa mask na kuosha mikono kila wakati Kinga ambayo ingeweza kulinda maskini na tajiri wote kwa wakati mmoja ulitakiwa ulazimishe serikali labda ihakikishe inagawa barakoa kwa raia bure na sanitizer ili kujikinga na Sio kuforce watu wakae ndan ok tuseme serikali imefata Kama mnavyotaka watu wakae ndani Ila vipi wale watu ambao mitaji Yao inategemea yeye kuwa kwenye mizunguko vipi lock down ikiisha na chakula Cha bure kutoka serikalini kika stop umeshawaza huyo mtu ataanzaje upya Maana baadh ya kazi za watanzania wengi zinataka kila siku uwepo ukimiss hata siku moja unakuwa umesha toka kwenye Ramani

Viongozi wote TANZANIA mlitakiwa muwe namba moja kusimama na raia na siku kusimama kupingana na hoja za rais. Tarehe moja Trump katangaza kuwa ndio mwisho wa Lock down watu watatembea Ila wavae barakoa na wawe wanasafisha mikono Yao Sasa nchi Kama Marekani inayoongoza kwa vifo na wagonjwa imeona Lock down haisaidii Ila inaharibu watu uchumi na akili wewe kiongozi wa juu Tanzania kila siku unalilia lock down au ndio mtoto akililia wembe muache umkate

Kwanini msianze kulia ofisi yenu inayowapatia posho kila siku ifungwe. Na japo kuwa tayari mmesha wapoteza wapendwa wenu wawili umo humo ndani lakini mnajifanya Kama hamuoni ila macho yenu yote yanaona Kariakoo na feli watu wanapojipatia Mia mbili mbili zao ingekuwa kweli mnataka nchi isiingie matatizoni kwa njia ya Lock down mngekuwa mnapigia debe ofisi yenu ifungwe Kama mnavyo pigia debe vitu vingine.

Tanzania ndio nchi pekee Kuna baadhi ya watu wanaweza kujikinga Corona kwa barakoa na kunawa mikono wengine hawawezi njia hiyo ila wao wafungiwe ndani mpaka ugonjwa utakapo Isha

Kiongozi Kama kiongozi Sasa hivi hutakiwi kupambana na hoja za rais kisa kuogopa kumpa credit Ila unatakiwa kuungana na rais ili kusaidia wananchi kiongozi yoyote Yule TANZANIA anatakiwa nguvu aelekeze kwenye barakoa na sanitizer au maji kutirirka na hii ndio njia sahihi wanayo umia China India na nchi zingine lock down ni usanii tu MAREKANI alifungia watu ndani akiwa na wagonjwa 1230 na vifo 270 angalia takwimu leo zinasemaje

Ahsanteni
"Katika vitu huwa vinafanya umtambue mtu hekma yake na uelewa wake ni pamoja na mitizamo yake" Nilipoanza kusoma huu uzi nilitegemea nondo za maana ndani yake, lakini nilipoumaliza kuusoma nikagundua kwamba ni udaku na chuki binafsi dhidi ya mbowe. Hapa ndio nazidi kuamini kwamba kuna tofauti kati ya kujua na kuelewa.
 
Wewe kaa ndani, PERIOD, huenda dua zako zikasikika na kufanikiwa. Ila ujue tu kwamba Tanzania kamwe haitaongozwa na "political entrepreneurs" ambao hujali maslahi binafsi kuliko ya Taifa.

Kazi njema
Wacha niingie Netflix
 
Kazi njema
Wacha niingie Netflix
Bora uingie Netflix maana Mh Mbowe anatoa maagizo kwa watu wazima, tena viongozi, ambao wanategemea kuongoza mapambano dhidi ya COVID-19. Tuamini pia amewawekea ulinzi wasikiuke amri yake.
 
Bora uingie Netflix maana Mh Mbowe anatoa maagizo kwa watu wazima, tena viongozi, ambao wanategemea kuongoza mapambano dhidi ya COVID-19. Tuamini pia amewawekea ulinzi wasikiuke amri yake.

Ni jambo zuri sana alilofanya kuwaambia wakae quarantine wabunge wa upinzani
Kwa mwenye akili atamuelewa
 
Back
Top Bottom