FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Sijui why huwa anazembea ifikie mahali timu ivunjwe wacheze wachezaji wa klabu za ihefu...mtibwa...na wengineo hawa Simba na Yanga na wa huko nje wasicheze...
Bora tufungwe tukiwa na wachezaji wasiojulikana.
 
NBC Ligi sasa na ianze tumemis jukwaa letu..la Usimba na Uyanga...maana nakosa tumaini
 
Wizara iwekeze ktk soka la mashuleni, UMISETA..Ili tupate wachezaji wenye shule pia...otherwise tutakuwa tunashangalia majirani tu...
 
Haji Mnoga naona hata kocha ailona hamna kazi, Kibu Denis hakuwa na impact yoyote, Mwamnyeto ni prone to mistakes, midfielders wana kazi ya back passes japo Himid kwangu holding midfielder mzuri tu.
 
Back
Top Bottom