Nakazia. Na sio kocha tu. Benchi lote la ufundi maana wachezaji hawana utimamu kabisa. Wanajichezea tu.Huyu kocha msen san
Sasa umeona 2nd halfWameanza kwa mbwembwe sana.
Wacha wapigwe za kutosha
ukwel marefa mechi za simba huwa kuna mawiliMnyama analiwa supu japo kwa hawa marefa hata tuwachape 3 watakataa tuu
Punguza jaziba mwanachiGolli walio nyimwa sbs Ni wasi kuwa Simba analazimishwa kuwa bingwa
SFG ni IHEFU ya Simba!Naitwa Dotto kutoka Nyakanazi. Naitakia Singida FG ushindi wa goli 2-1. Ujumbe, Kija Maduhu mbona kimya?
Utadhani kazi yao sio mpira vile.wachezaji wanacheza kama wanaumwa hivi huwa hawatizami yanga ikicheza ama
SSC wanaisumbua Mahakama tukufu.Saido Out
Baleke Inn