Leo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024.
Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali.
Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege?
Kikosi cha Simba kinachoanza
Kikosi cha Singida FG kinachoanza
- Onyango na Habibu Kiyombo wametolewa kikosini
- Mpira Umeanza
- Singida wameanza kwa kushambulia kwa kasi
- Goool Rupia anawatanguliza Simba
- Bado Singida wanaliandama lango la Simba
- Dakika ya 40 bado mambo magumu kwa Simba
HT: Singida FG 1 - 0 Simba SC
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 50 simba wanapata faulo
Dakika ya 70 bado mambo magumu kwa Simba
Dakika ya 75 Simba inashambulia Singida wanalinda
Dakika ya 80 bado Singida wanaongoza
Dakika ya 90 Singida 1 - 0 Simba
Dakika ya 90 +8 Ngoma anasawazisha hapa
Ni muda wa penati kwa sasa.
FT: Singida Fountain Gate 1-1 Simba SC (Pen: 2-3)