FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

Sakho Goooooooooooooaaal gooal

Pape Sakho anakandamiza bao la tatu | Simba SC 3-1 Singida Big Stars
Goli la kideo lile, alikuwa na nafasi ya kufunga kawaida ila akageuka nyuma ilmradi aupige vile tu[emoji23].
 
Saido Ntibazonkiza anapiga shutii lakini mpira unagonga nyavu za juu

Ilikuwa nafasi nzuri ya kufunga bao
 
Wanangu wa utopolo msijali hawa singida ni timu mbovu hawatofautiani sana na simba
 
Kutoka dakika ya 61 mitambo ilipo sheck Dakika ya 71 mpira umerejea tena

Wachambuzi wanakazi kweli kweli kuelezea yaliyofanyika dakika ya 62-70
 
Katika siku ambayo AZAM media wanazingua basi ni leo.
 
Back
Top Bottom