Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,447
- 29,857
Simba punguzeni kunipa raha
Mitambo imekata tenaKutoka dakika ya 61 mitambo ilipo sheck Dakika ya 71 mpira umerejea tena
Wachambuzi wanakazi kweli kweli kuelezea yaliyofanyika dakika ya 62-70
KWani mke bora anapimwa kwa ushabikii?Mke Bora kbsa
Kawaida yakeSakho Leo ni Wa Moto
Kitendo cha kuishabikia Simba tu inaonesha ana AKILIKWani mke bora anapimwa kwa ushabikii?
Wapo chini ya uvunguHivi UTOPOLO wapo humu?
Hahahaha!? Kumbe ni kwa engo hiyo, haya bana hongereniKitendo cha kuishabikia Simba tu inaonesha ana AKILI