Alisemaje huyo mchambua tembeleMchambuzi uchwara Edo Kumwembe atakuwa ameumia saana hili goli la Sakho.
Huyo jamaa wa mwisho sauti yake inafanana na yangu.Goli la Sakho
View attachment 2505175
Kwa kweli, maana siyo kwa ushabiki huoYaniii uzuri shemeji yenu ananiunga mkono yaniiii ila ningesha achika
Anamchukia sana Sakho yule jamaa.Alisemaje huyo mchambua tembele
Kalpana we kindakindaki kweli ais
Au ktk statusJamani kwani likojee? Tutaona kwa Simba page baadae huwa wanarudia magoli yote
Ni mimi huyoHuyo jamaa wa mwisho sauti yake inafanana na yangu.
Nimecheka sanaaa.. 😆 😆Kwa kweli, maana siyo kwa ushabiki huo
Huyu huyu mropokajiMaendeleo hayana chama nipo kwa Lissu leo