Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,769
- 73,053
Weee huyo ndo Sackhoo mzee wa magoli AdimuMacho yako yanaona kama mimi?
Linafungwa goli la aina yake
Weee huyo ndo Sackhoo mzee wa magoli AdimuMacho yako yanaona kama mimi?
Linafungwa goli la aina yake
Hatari!Wakwanza Sakho huyu anawachosha wenzake.
Tulioko mbali na tv tunakosa uhondoWeee huyo ndo Sackhoo mzee wa magoli Adimu
Tatu hukoMnaosikiliza kwenye radio mtupe updates
Tulia Mkuu Syringe Isijekukatikia T*k*niHili pazia letu ni shida
HahahahahahaaVip kuna nini hukoo kuna Mpuuz wa TAnESCO kakata Umeme mkuuuuunuuuduh wake
Updates zipo fasta soma humuVip kuna nini hukoo kuna Mpuuz wa TAnESCO kakata Umeme mkuuuuunuuuduh wake
Amnaaa nomaUpdates zipo fasta soma humu
Acha tuu mi nashabikia kama naona wakati ndani gizaa hahhaahTulioko mbali na tv tunakosa uhondo
Kapiga MCHIII?Kalpana we kindakindaki kweli aise