FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

Ila squad depth yetu inatia mashaka sana wakuu, na jaribu kuagalia kama kuna Sub yoyote inayoweza kufukia baadhi ya makosa ambayo ninayaona, ila siioni kabisa.

Au nyinyi mnaonaje?
Okrah anaweza sana kuongeza nguvu ya mashambulizi, tatizo lake ubinafsi, hawa jamaa wakiongezewa mashambulizi watapunguza kutushambulia, lakini kuingiza wachezaji wakujilinda, tutazidi kukaribisha mashambulizi toka kwao.
 
Okrah anaweza sana kuongeza nguvu ya mashambukizi, tatizo lake ubinafsi, hawa jamaa wakiongezewa mashambulizi watapunguza kutushambulia, lakini kuingiza wachezaji wakujilinda, tutazidi kukaribisha mashambulizi toka kwao.
Wakwanza Sakho huyu anawachosha wenzake.
 
Ila squad depth yetu inatia mashaka sana wakuu, na jaribu kuagalia kama kuna Sub yoyote inayoweza kufukia baadhi ya makosa ambayo ninayaona, ila siioni kabisa.

Au nyinyi mnaonaje?
Huyo Zimbwe anayepigiwa makelele hapa, hamna hata mmoja ambaye yuko kwenye benchi anaweza kumreplace na akaonyesha kitu cha maana.
 
Na bora hata wangekuwa wanabadilisha matangazo walau tusichoke
 
Back
Top Bottom