kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,539
- 17,487
Tupo tunalia tuu saa hii
Sio mala ya kwanza hawa jamaa kututangulia 2
We tulia
Tupo tunalia tuu saa hii
Wasiwasi wa nini? Siku zite Simba Sc huwa inashinda pale tu inapokutana na team ndogo[emoji1].Hizi mechi zinaamuliwa zaidi nje ya uwanjani kuliko mauzauza unayoyaona uwanjani.
Hapo ndio muda wa kocha kuonesha ubora wake wa come back second half anaingiaje.
Tulieni hii ndio dakika ya 3
Ndio maana wanatembea kwa kuinama sasa hiviTumeuvunjia mwiko kwa ndani
Hata mayele anapiga mpira toka katikati ya uwanja kwenda kwa kipa zaidi ya mara Tatu [emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ina uwezo?
Leo tutajua kama Horoya ilikuwa ni team mbovu ama laah.
[emoji23][emoji23]
Tena haramu haswa , pole!uwiiii kwanza mpira haram[emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Tuko hapa....Watasawazisha mwambie sjmba wamefunga mwanzo yanga watafuatia.mpira dk 90
Ney miss youTupo tunalia tuu saa hii
Wainalilah......leo Mayele hawezi kuliona goli