Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,742
- 14,936
Leo leo
Siku ya furaha leo sio kitotoNyieeee.
Ni hivi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
leo tumepatikana
Ni kweli mkuu.Mda bado
Kalpana yuko wapi sijui....Mtafute Bantu Lady asije akajiua halafu Kalpana yuko wapi auntie
Naamini Baleke lazima ashinde leoHuyu lazima awaweke...kwakosa ya kwanza, hawakosi mara mbili..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]PoleeeYanga kwa kunivunja moyo tu hawajambo[emoji22][emoji22][emoji22]
Kikibwa sisi tunataka lile swala la kuwaita "team ndogo" kila team inayofungwa na Simba Sc liendelee hata baada ya hii mechi.Dah! Hali ni tete kwa wananchi! Tukipata hata sare tu ni jambo la kushukuru. Wachezaji wa Yanga wamekuwa ni wazito mpaka basi.
I wish Ibrahim Bacca na viungo wengine wakapewa tu nafasi.