Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,241
- 111,205
Hizi mechi zinaamuliwa zaidi nje ya uwanjani kuliko mauzauza unayoyaona uwanjani.Yanga kwa kunivunja moyo tu hawajambo😢😢😢
Hapo ndio muda wa kocha kuonesha ubora wake wa come back second half anaingiaje.