Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,138
- 14,557
Bora Simba Hawa wanajielewa,kuliko yule Simba wa kufugwa pale KariakooGoool,Simba 1-0 Namungo View attachment 2608689
Bora Simba Hawa wanajielewa,kuliko yule Simba wa kufugwa pale KariakooGoool,Simba 1-0 Namungo View attachment 2608689
Umekuja baada ya majirani zako kufungaNamungo wananogesha igizo hapa
Nashangaa anagusa mpira kwa mkono mmoja badala ya kudaka mpira kwa mikono yote miwili.Kipa Bado anadaka ila mipira km hii kwake n kipengele unadakaje mkono 1
Dogo hatujui, Sifa zimemuingia kaamua kuingia kwenye payroll za watu. Simba siyo timu ya kipa kufanya makosa ya kipuuzi kama hayaHuyu golikipa wa simba mbona anatuuza aisee,
Duuh hilo goli limenipita aseeNashangaa anagusa mpira kwa mkono mmoja badala ya kudaka mpira kwa mikono yote miwili.
Ni uzembe wa hali ya juu sana anaufanya,the same alifanya ile game ya marudiano na Wydad..Dogo hatujui, Sifa zimemuingia kaamua kuingia kwenye payroll za watu. Simba siyo timu ya kipa kufanya makosa ya kipuuzi kama haya
Namungo wanapeleka moto siyo wa kitotoGooooooooooooooo Namungo wanasawazisha kutoka kwa Hasan Kabuda
UnasemaPiga makolo hayoooo
Nasikia kpa yupo kwenye payroll ya NamungoMmmmmmae hii beki na kiungo ya Simba leo ushuzi kabisa
Amechoka kupata cleansheetsDogo hatujui, Sifa zimemuingia kaamua kuingia kwenye payroll za watu. Simba siyo timu ya kipa kufanya makosa ya kipuuzi kama haya
Vipi amekataa kupokea mlungula wa Mo!?Huyu Refa TFF wamemtoa wapi kwani?