Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,335
- 3,431
Ni kama amekuwa intimidated na sarakasi walizofanya siku hizi kadhaaRefa anaibeba sana Madrid
Ni kama amekuwa intimidated na sarakasi walizofanya siku hizi kadhaaRefa anaibeba sana Madrid
Huyu Lamine kachoka sana atatema nyongo
Penalty ya wazi kabisa kawanyima BarçaKwenye tukio lipi?
Barcelona wanafanya ulaghai kumhadaa refa kwenye matukio mengi.
Zipi?Ni kama amekuwa intimidated na sarakasi walizofanya siku hizi kadhaa
Unafuatilia game za inter? Kuna vyuma bastoni,dimarco,lautaro,barellaSema Inter sio wagumu kihivyo ni basi tu walikutana na Bayern akiwa kwenye siku zake.
Hakuna penati pale kwanza mgusano wenyewe ulikuwa wa mbali sana na ndio maana refa baada ya VAR review akampa na kadi ya njano kabisaPenalty ya wazi kabisa kawanyima Barça
Utabiri wako ni upi mdau , mimi naona ngoma inaisha Nyau nyau 90min
Inter namfuatilia ila simuoni akimsumbua Barcelona hata kidogoUnafuatilia game za inter? Kuna vyuma bastoni,dimarco,lautaro,barella
Barcelona kipindi cha pili amefanya ujinga mwingiHakuna penati pale kwanza mgusano wenyewe haukuwa wa mbali sana na ndio maana refa baada ya VAR review akampa na kadi ya njano kabisa
Ungebeti sare saizi ushakuwa milioneaView attachment 3316967
Wazee wenzangu wamikeka 🤣🤣
Barcelona komaa nae kwake asikufunge nyingi. Ugenini unampiga vizuri tu litimu linaruhusu magoli sanaInter namfuatilia ila simuoni akimsumbua Barcelona hata kidogo
Kwa Sasa sisi Barca ni wabovu kuzuia pembeni alaf inter wanashambulia sana pembeniInter namfuatilia ila simuoni akimsumbua Barcelona hata kidogo
Na lenyewe linafunga magoli mengi.Barcelona komaa nae kwake asikufunge nyingi. Ugenini unampiga vizuri tu litimu linaruhusu magoli sana
Hakuna penati pale kwanza mgusano wenyewe ulikuwa wa mbali sana na ndio maana refa baada ya VAR review akampa na kadi ya njano kabisa
Haya matimu saivi sijui yamepatwa na nini 🤣 madrid tia maji, arsenal tia maji, bayern tia maji, inter tia majiUngebeti sare saizi ushakuwa milionea
Na lenyewe linafunga magoli mengi.
Ni kama Atletico tu
Kwa Sasa sisi Barca ni wabovu kuzuia pembeni alaf inter wanashambulia sana pembeni