uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 14,674
- 20,443
Mwanetu hakuwa tu mvumilivu 🤣Cash out mwanangu
Mwanetu hakuwa tu mvumilivu 🤣Cash out mwanangu
Inahitaji kochaMadrid imeshajifia.
Huwa anakunja uso kama mbogo maji😁🤣Jude walivyokuwa wanakwenda kuchukua medali uso wake umejaa hasira hatari halafu kina Vin wao wanacheka tu
Anaondoka kwa aibu mno trophyless.Nadhan babu hii itakua match yake ya mwisho, walikua na mipango wa kutangaza caretaker baada ya hii match.
Mafuriko yatakuwepoBado may 11 Barcelona anamsubiria kwakwe kwe Laliga,huku Bellingham, Vasquez na Rudiger wote wana Red na wakati babu Lewandoski anatakuwa karudi. Naona kabisa Madrid watakavyo kula mkono.
Lakn Kuna muda anaonesha utan lakn kaz yake balaaLamine Yamal ana miaka 17 ila maturity yake ni kubwa mno,utazani anamiaka zaidi ya mitano Barcelona.
The boy himself.Lamine Yamal ana miaka 17 ila maturity yake ni kubwa mno,utazani anamiaka zaidi ya mitano Barcelona.
Kwani huko hakuna kukimbia mechi kama huku bongo?Bado may 11 Barcelona anamsubiria kwakwe kwenye Laliga,huku Bellingham, Vasquez na Rudiger wote wana Red na wakati babu Lewandoski atakuwa karudi. Naona kabisa Madrid watakavyo kula mkono.
Traditional managers muda wao umeisha kuna generation mpya now ambao wanafundisha mpira wa akili na sio wa vipajiAnaondoka kwa aibu mno trophyless.
Ukimbie uende wapi huku mechi ikipangwa tarehe fulani inapigwa tarehe hiyo hiyo, Barca alikuwa na mechi kumi mfululizo anapumzika siku mbili mechi mbili mechi, akaomba baadhi ya mechi zisogezwe mbele La Liga wakakataa. Madrid mechi ya Marudiano na Arsenal baada ya kupigwa mechi ya kwanza akaomba, mechi yake ya ligi ambayo iliyo pangwa na Laliga ichezwe Jumapili ,akaomba ichezwe jumamosi Laliga wakakataa na Madrid akacheza siku ile ile ya Jumapili iliyo pangwa. Mechi ya Jana Madrid walikuwa wanalamikia marefa wabadilishwe Laliga wakakomaa kwamba marefa hawa hawa tulio wapanga ndio watachezesha hiyo mechi.Kwani huko hakuna kukimbia mechi kama huku bongo?
Siyo vyama vya mpira wazungu kwenye mambo mengi wamenyokaa huwa hawaendeshwi na hisia kama huku .Ukimbie uende wapi huku mechi ikipangwa tarehe fulani inapigwa tarehe hiyo hiyo, Barca alikuwa na mechi kumi mfululizo anapumzika siku mbili mechi mbili mechi, akaomba baadhi ya mechi zisogezwe mbele La Liga wakakataa. Madrid mechi ya Marudiano na Arsenal baada ya kupigwa mechi ya kwanza akaomba, mechi yake ya ligi ambayo iliyo pangwa na Laliga ichezwe Jumapili ,akaomba ichezwe jumamosi Laliga wakakataa na Madrid akacheza siku ile ile ya Jumapili iliyo pangwa. Mechi ya Jana Madrid walikuwa wanalamikia marefa wabadilishwe Laliga wakakomaa kwamba marefa hawa hawa tulio wapanga ndio watachezesha hiyo mechi.
Kwa kifupi vyama vya wenzetu ulaya vina nguvu halafu cha pili kule kuhairisha mechi kwa sababu za kipuuzi ni hasara,kwani wanao simamia production wanaweza wakadai fidia kubwa sana, sababu set up ya mechi moja gharama yake ni kubwa.Hiyo May 11 hamna kukimbia.
Viongozi wetu hawajiaminiSiyo vyama vya mpira wazungu kwenye mambo mengi wamenyokaa huwa hawaendeshwi na hisia kama huku .
Barcelona ni wachovu kama hujacheza nao.
Kacheze nao sasa!
Barcelona akipita niko hapaBarcelona komaa nae kwake asikufunge nyingi. Ugenini unampiga vizuri tu litimu linaruhusu magoli sana