Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,335
- 3,431
Jude naona amepanick hatari amechukia balaa! Modric amechoma timumbappe huu msimu anatoka empty --- ushindi pekee ni direct freekick goal
Huyu mnyakyusa ana balaa
ubaya ubwelaJude naona amepanick hatari amechukia balaa! Modric amechoma timu
Modric wanaweza kumpiga thank you 😃Msimu unaisha bila hata kikombe hata Cha chai
Ubaya UbwelaNgoja nikakinukishe Instagram ya Madrid had walie
No kujiteteaTimu imechoka, hata Barcelona ni wachovu basi tu
Hahaha 😂😂mbappe huu msimu anatoka empty --- ushindi pekee ni direct freekick goal
Hahaha 😁🤣🤣😂Sema Inter sio wagumu kihivyo ni basi tu walikutana na Bayern akiwa kwenye siku zake.
Barcelona ni wachovu kama hujacheza nao.Timu imechoka, hata Barcelona ni wachovu basi tu
Hahaha 😁mambo ya kwenda extra waje kuyafuta haya--- tunasinzia bila sababu kisa dakika 90 tulikua macho ---- mkoloni anambinu mbaya sana
Hahaha 😂😂
Wale jamaa wanakaba bhanaSema Inter sio wagumu kihivyo ni basi tu walikutana na Bayern akiwa kwenye siku zake.
Modrich ni kama wazee wa kiafrika, akiona anakaribia kufa anauza Mali zote na kuwaacha watoto taabuniJude amechukia hatari 😃 wasaliti wameshaonekana
Kuna jicho moja Jude amempa Modric aisee 😃 Nimecheka hatariModrich ni kama wazee wa kiafrika, akiona anakaribia kufa anauza Mali zote na kuwaacha watoto taabuni